Two state solution itapatikana, na ndo litakua suluhisho la kudumu.Mkuu.....Wanachotaka Hamas....kinajulikana.....Umesoma Charter ya Hamas...?
Aidha, hii vita imenifunulia kuwa kumbe Israel si Taifa la Kibaguzi kama wanavyodai Waislam. Israel ni Taifa ambako watu wote ( Wayahudi, Wakiristo, Wauslam, Bahai, Mabedouin) wanahaki sawa hata jeshini pia.Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
military capabilities zinawakataa sasa. Shida sio hamas wanataka nini , shida nini kinatakiwa kifanyikeLengo la Hamas sio two state solution, ni kuifuta Israeli kwenye uso wa dunia..
No 3 ni uongo usiofanana na ukweli.Kwa haya niliyofahamu,basi US na allies wake ni wanafiki wakutupwa na wamejaa double standards!
Huu ndio ukatili wa Israel kwa wapalestina!
1.Israel ndio nchi pekee duniani ambayo watoto wanapelekwa mahakama za kijeshi na kuhukumiwa!
2.Israel Wana administrative detention,hii wanaitumia kuwaweka ndani wapalestina kwa muda wowote watakao bila kushitakiwa!Unaweza kukaa miaka na miaka!
3.Mtoto wa kipalestina wa miaka 8,9,10 anaweza kuhukumiwa Hadi miaka 20 jela kwa kosa la kurusha jiwe kwa waislaeli!Adhabu hii ni kubwa ukilinganisha na Adhabu anayoweza kupata muislael kwa kumuua mpalestina!
4.Mpalestina akifa kabla hajamaliza kifungo basi mwili wake unahifadhiwa bila kuzikwa mpaka maiti ikamilishe kifungo!Mpaka sasa Kuna maiti zaidi ya 394 zinatumikia kifungo Huko kwenye majokofu ya Israel!Na zinapomaliza vifungo basi zinazikwa na kubandikwa namba badala ya jina!
5.Kuna binti kaachiwa,alikuwa anatumikia kifungo cha miaka 10,kosa lake lilikuwa kumsogelea kwa karibu Askari wa Israel!Ametoka akiwa ametumikia miaka 7 gerezani!
Hayo yote ni kinyume na Sheria za kimataifa ambazo Marekani na washirika wake wamekuwa wakiziwekea nchi nyingine vikwazo kwa kukiuka haki za binadamu!
It's a shame!
[emoji1787][emoji1787]wenyewe wanawaita malaika wazuri(wa swala tano)Boko Haram na ISIS, Hmasa wana roho za malaika! Nadhani nimekuelewa Mkuu!
[emoji1787][emoji1787]au steve nyererehii inawezekana kabisa, mana unaweza shangaa hata mwinjaku kapata teuzi
Kama ambavyo wangetulia ukraine dhidi ya uvamizi wa urusi sio?hivi unafiki ni sehemu ya imani yenu?!Uko brainwashed na unapelekwa tu!Hao Hamas wako occupied West bank?Hamas wako Gaza,sasa hayo niliyoandika yanawakumba wapalestina wote,wa Gaza na West bank!
Yaani mtu anakalia ardhi yako kimabavu,unatakiwa utulie tu!Upangiwe muda wa kutoka ndani na muda wa kurudi,uishi kama mnyama anayefugwa!Halafu eti unaleta story za watoto kufundishwa kurusha mawe,so what?Ndio akimpiga jiwe Askari,ndio apelekwe military court na kuhukumiwa miaka mpaka 20 jela?Uko serious?
Upuuzi ni wewe mwafrika kukereka kuhusu mwarabu huku mwarabu huyo huyo akiua mwafrika mwenzio tena wa dini yako(utumwa wa kiimani)Mimi nataka jibu la swali sio huu upuuzi unao andika andika hapa
Ww tupe ukweliHuo ni uongo, uzushi, propaganda
Dini yangu ipi inaonekana wanifahamu vyema ?Upuuzi ni wewe mwafrika kukereka kuhusu mwarabu huku mwarabu huyo huyo akiua mwafrika mwenzio tena wa dini yako(utumwa wa kiimani)
Upo dunia gani wewe pimbi?? Dunia nzima watu wanaandamana huoni au hujui lugha zaidi ya kiswahili?? Na wanaoandamana ni wazungu sio waislaam huo moyo wako umekuwa kama barafu???Kwani wale watoto wa Israel zaidi ya 200 waliokuwa kwenye tamasha la muziki wakauliwa na magaidi ya Hamas 7/10, walikuwa na mabomu?!
Rubbish..Upo dunia gani wewe pimbi?? Dunia nzima watu wanaandamana huoni au hujui lugha zaidi ya kiswahili?? Na wanaoandamana ni wazungu sio waislaam huo moyo wako umekuwa kama barafu???
Upo dunia gani wewe pimbi?? Dunia nzima watu wanaandamana huoni au hujui lugha zaidi ya kiswahili?? Na wanaoandamana ni wazungu sio waislaam huo moyo wako umekuwa kama barafu???
Two state solution itapatikana, na ndo litakua suluhisho la kudumu.
Politics ndo zinarun hii dunia the same politics zilizo establish israel state ndo zitakazo establish two states pale.
Unless iibuke nchi nyingine kuwa super power then iwe na mtizamo tofauti
Wanatulana hao yan watu hata kutumia akili kidogo tu hakuna hatari sanaSubiri matusi kutoka kwa malast born wa mungu tawi la bongo
Yan hawa jamaa hawatumii akili, ukija na hoja wanakuja na hoja ya dini, i see mimi mwenyewe ni christian lakini mambo wanayoambiwa kanisani wakristo wengi wanadanganywa, sababu washaaminishwa israeli ni teule lakin hapo hapo waisraeli hawataki kabisa kuusikia ukristo, haya tuachane na dini ukienda west bank kuna barriers zimewekwa na wayahudi kila sehemu yan wapalestina wanapata shida na gaza ivyo ivyo yan maji na chakula vinaingia kwa mpangilio wanaiutaka wayahudi yan wamewafanya wenzao mateka sasa nani atakubali upuuz huo? Watu ukiwaambia wanarudi kwenye dini alizoleta mzungu nchi za africa bado sana aiseeUko brainwashed na unapelekwa tu!Hao Hamas wako occupied West bank?Hamas wako Gaza,sasa hayo niliyoandika yanawakumba wapalestina wote,wa Gaza na West bank!
Yaani mtu anakalia ardhi yako kimabavu,unatakiwa utulie tu!Upangiwe muda wa kutoka ndani na muda wa kurudi,uishi kama mnyama anayefugwa!Halafu eti unaleta story za watoto kufundishwa kurusha mawe,so what?Ndio akimpiga jiwe Askari,ndio apelekwe military court na kuhukumiwa miaka mpaka 20 jela?Uko serious?
Yan hawa jamaa hawatumii akili, ukija na hoja wanakuja na hoja ya dini, i see mimi mwenyewe ni christian lakini mambo wanayoambiwa kanisani wakristo wengi wanadanganywa, sababu washaaminishwa israeli ni teule lakin hapo hapo waisraeli hawataki kabisa kuusikia ukristo, haya tuachane na dini ukienda west bank kuna barriers zimewekwa na wayahudi kila sehemu yan wapalestina wanapata shida na gaza ivyo ivyo yan maji na chakula vinaingia kwa mpangilio wanaiutaka wayahudi yan wamewafanya wenzao mateka sasa nani atakubali upuuz huo? Watu ukiwaambia wanarudi kwenye dini alizoleta mzungu nchi za africa bado sana aisee

Mkuu nimeisoma yote na asante umeniongezea kitu ila nani mchokozi toka mwanzo ? Me sitaki hayo mambo ya dini zao? Hawajaanza kugombana leo twende kwenye source hapo ndio tujue ili wasolve wafanyaje …NAN KAMCHOKOZA MWENZIE ?Mkuu unajua Charter ya Hamas lakini....? Naona ni hujui Hamas inasukumwa na nini.....
The Hamas Covenant
The Covenant of the Islamic Resistance Movement was issued on August 18, 1988. The Islamic Resistance Movement, also known as the HAMAS, is an extremist fundamentalist Islamic organization operating in the territories under Israeli control. Its Covenant is a comprehensive manifesto comprised of 36 separate articles, all of which promote the basic HAMAS goal of destroying the State of Israel through Jihad (Islamic Holy War). The following are excerpts of the HAMAS Covenant:
Goals of the HAMAS:
"The Islamic Resistance Movement is a distinguished Palestinian movement, whose allegiance is to Allah, and whose way of life is Islam. It strives to raise the banner of Allah over every inch of Palestine." (Article 6)
On the destruction of Israel:
"Israel will exist and will continue to exist until Islam will obliterate it, just as it obliterated others before it." (Preamble)
The exclusive Moslem nature of the area:
"The land of Palestine is an Islamic Waqf [Holy Possession] consecrated for future Moslem generations until Judgment Day. No one can renounce it or any part, or abandon it or any part of it." (Article 11)
"Palestine is an Islamic land... Since this is the case, the Liberation of Palestine is an individual duty for every Moslem wherever he may be." (Article 13)
The call to jihad:
"The day the enemies usurp part of Moslem land, Jihad becomes the individual duty of every Moslem. In the face of the Jews' usurpation, it is compulsory that the banner of Jihad be raised." (Article 15)
"Ranks will close, fighters joining other fighters, and masses everywhere in the Islamic world will come forward in response to the call of duty, loudly proclaiming: 'Hail to Jihad!'. This cry will reach the heavens and will go on being resounded until liberation is achieved, the invaders vanquished and Allah's victory comes about." (Article 33)
Rejection of a negotiated peace settlement:
"[Peace] initiatives, and so-called peaceful solutions and international conferences are in contradiction to the principles of the Islamic Resistance Movement... Those conferences are no more than a means to appoint the infidels as arbitrators in the lands of Islam... There is no solution for the Palestinian problem except by Jihad. Initiatives, proposals and international conferences are but a waste of time, an exercise in futility." (Article 13)
Zote mkuu zote zimeletwa tu na uwongo ni mwingi sana me sitaki mambo ya dini nataka tujue nan kamchokoza mwenzie huyo ndio aadhibiwe, Mkuu unajua chanjo cha ugomvi wa Palestina na Israeli ?Mbona hujamalizia kwenye dini alizoleta Mwarabu pia.......!!! Umesahau au umefanya makusudi....!!