Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije ukajichanganya. Watakuua, utamalizwa.

Kuna mambo ukifanya nakuhakikisha umejiingiza kwenye Hatari kubwa ya kuangamizwa, kuuawa, kupotezwa. Mambo hayo yapo Katika Nyanja zote, kisiasa, kijamii na kiuchumi
Kama Ifuatavyo;

1. KISIASA,
a) Uhaini, kufanya mipango ya kumuua Mfalme au Rais, kuratibu au kushiriki mipango hiyo. Kwa namna yoyote Ile.
Watakuua nakuhakikishia, kama wewe ulivyopanga kumuua au kumpindua mfalme Basi tegemea matokeo makubwa ya Hatari yatakayokurudia.

b) Kuipasua nchi.
Mfano nchi ya Tanzania, ufanye Njama igawnyike Mapande Mapande kama vile Sudan Kusini na Sudan Kaskazini. Watakuua nakuhakikishia. Labda uwe na bahati Sana uchoropoke. Au uwe umewazidi mipango, mikakati na mbinu.

c) Kuungana na Adui wa Nchi.
Mfano, Korea Kaskazini na Kusini. Wewe ni Mkorea Kusini lakini unaunga Mkono Korea Kaskazini au kinyume chake. Watakuua mchana kweupe.

d) kusogeza Mpaka wa Nchi.
Mfano, Malawi wanaleta chokochoko wanataka labda ziwa na baadhi ya maeneo. Au vile Idi Amin anataka kuchukua baadhi ya maeneo ya Kagera alafu wewe unajifanya unaungana na Amini au Malawi ili Tanzania ichukuliwe maeneo yake. Watakuua nakuhakikishia.

e) Ugaidi
Matendo yoyote ya Kigaidi hasa ukiwa frontline na kiongozi. Utauawa Bila huruma.

f) Uasi Jeshini.
Wewe ni Mwanajeshi, labda ukaona Jambo Fulani linaenda ndivyo sivyo. Ukaamua kushawishi wenzako wenye mtazamo kama wako. Kaa ukijua Mchezo unaoenda kuufanya ni vita ya Kifo na uhai. Kuuawa ni njenje.

2. KIJAMII
a) Kulala na Mke au Mume wa Mtu.
Kuna wanasema, oooh! Huo ni ushamba, hooo! Kujichukulia Sheria mkononi, oooh! Sio uungwana.
My friend, huo uungwana ungeanza nao wewe hapo. Sio uchukue Wake/Waume za watu alafu uwatake wawe waungwana, watakuua nakuhakikishia. Utauawa, au kufirwa, au kufanyiwa matendo yanayolingana na Jambo ulilofanya.

MKE au Mume wa Mtu thamani yake ni kubwa kwenye maisha ya Mtu. Huwezi ukaenda kuchukua Mke au Mume wa Mtu alafu ukaleta Maneno yako ya kanisani au misikitini huko. Watakuua nakuambia.

Oooh! Haki za binadamu. Hizo Haki za binadamu zitumie kuheshimi Mali na vitu vya watu wengine. Kama Haki hizo hukuzitumia Jua hakuna atakayezikumbuka kuzitumia. Utauawa.

Labda ukutane na watu wasio na nguvu ya kufanya hayo. Lakini kama Mtu ananguvu yoyote Ile. Tegemea Kuuawa kikatili.

b) Urithi na wizi wa Mali.
Urithi ni Haki ya asili ya Mtu.
Unapochukua Haki hiyo tegemea Kuuawa.
Historia inajieleza, mauaji Mengi yamechangiwa na ishu ya Urithi na wizi wa Mali.

Wewe unajijua huna Haki ya kuchukua Mali Fulani, why utake kuichukua Mali hiyo kama sio dharau, kiburi na kujifanya mwamba. Hakika utauawa.

Mfano,
Umeolewa, huna Kazi ya maana, Mumeo ni tajiri wa kutosha, uwiano wenu wa mchango wa Mali kwako ni 20 Mume 80 yaani 2:8 au 1:4.
Imetokea mmegombana, alafu ukadai Talaka, alafu kwenye Mali unataka upewe nusu kwa nusu. Hakika yake utauawa. Hiyo sio Haki yako.
Inakuwa Haki yako ukiwa kwenye Ndoa lakini mara utakapoondoka haiwi yako tena Bali kila mtu anachukua kilichochake.
Ni kama kampuni. Kila mtu achukue Hisa zake.
Sasa kitendo cha wewe kutaka kuchukua Hisa ambazo sio zake ni kujitafutia matatizo makubwa ikiwezekana kuuawa.

Ndio maana Kila siku Mimi Mtibeli nawaambia wanawake na ninyi mfanye Kazi, muwe na Hisa zenu.
Sio mzae tuu au mjifiche kwenye kichaka cha kufanya Kazi za nyumbani sijui kulea.
Ilhali siku hizi matajiri na watu wengi Wana watafutia wadada WA Kazi na Kazi karibia zote hapo nyumbani zinafanywa na Dada wa Kazi.

Utauawa. Na Sisi Watibeli hatutashangaa kwa sababu Dawa ya watu kama ninyi ni Kifo hasa mkiwa mmedhamiria.

Mfano, 2
Mtoto wa nje hupaswi kudai HAKI ya Urithi kama hukulelewa kwenye familia ya Baba yako. Lilikuwa jukumu la Mama yako kupeleka kwa Baba yako ukaishi huko.
Kwa Sisi Watibeli tunajua Mtoto ambaye hujamlea huyo sio mtoto wako.
Mtoto wako ni Yule uliyemlea.

Mtoto atarithi kwa mama au upande wa Mamaake ikiwa alikulia huko. Hiyo ndio HAKI.
Achana na Maneno ya kilaghai na uongouongo na unafikinafiki yanayotokewa na HAKI zijui za binadamu. Haipo hivyo.

Sehemu ambayo hujakulia au kulelewa wewe utabaki kuwa mgeni tuu. Hata wewe mwenyewe ukifika nafsi yako itajiona hivyo.

Ndio maana Mimi Mtibeli kila wakati nawaambia, hasa wanawake ikiwa umeamua kukaa na mtoto Moja kwa Moja basi Hakikisha unatambua vitu muhimu kama hivyo.
Ukikaa na mtoto Hakikisha unamtafutia na Urithi kwa sababu huyo ni mtoto wako.
Sio ukae naye wewe alafu Biological father amtafutie Urithi ilhali hakai naye. Huyo sio mtoto wake kimazingira ila ni mtoto wake kibaolojia.

Lazima umuandalie na HAKI za Baraka zake kama mtoto.

Baba hawezi kumbariki mtoto ambaye hajaishi naye hizo Baraka zikashika. Tumia Akili ndogo kujua Hilo.
Baraka za Baba lazima ziwe na connection ya kimwili, kiroho na kimazingira.
Lazima Baba ajue Tabia na makuzi ya Mtoto.

Na umri sasa watoto kujuana na Baba ni Kati ya Miaka 0-15.

Baraka pia ni sehemu ya Urithi ambao unapiganiwa kufa kupona hasa na watoto wenye AKILI wenye mipango ya Muda mrefu na wanaotaka vizazi vyao viwe na Nguvu.

c) Kuiba mashamba au viwanja vya watu.
Utauawa wewe. Ugomvi wa ardhi umeua wengi Sana.

Acha niende Kanisani Kwanza, alafu tutaendelea.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hilo la mke kwangu mimi sitamuua aliyechukua mke wangu wote nitawaona wamekosa so nitaamua tu kiroho kuachana nao kila mtu ale zake..ilikuwaje mpk mke kakubali akusaliti

Sasa hiyo ni wewe.
Kama ilivyo kuna wengine hata ukienda kumtia Dole reaction yao inaweza kuwa ndogo. Ila usifanye makosa KUFIKIRI kwa vile wewe hutamfanyia ubaya mgoni wako Basi watu wote wapo hivyo.

Ni Hatari kubwa hiyo
 
Hapo kwa mtoto nadhani hauko sahihi.....kama uliweka mimba unapaswa kuwajibika kwa tendo lako....haiwezekani umtongoze binti....mpange miadi mkutane kimwili na umuweke mimba alafu linapokuja suala la malezi unakimbia ukitegemea utawajbika.......kama ulivyotoa jasho wakati unapiga bao lenye kutunga mimba na ndivyo mtoto huyo anastahili jasho lako......

Kama ingekuwa Una heshimu muunganiko wako na mkeo usingetongoza nje na kufanya uzinzi......

Huyo mtoto ikithibitishwa kuwa ni mbegu yako basi anastahili jasho lako na kama huna hiyari basi mahakama itakulazimisha kufanya hivyo......
 
Kuwajibika ni pamoja na kulea mtoto wako.
Lakini kama mwanamke hataki kukupa MTOTO umlee huo wajibu unaondoka automatically.

Ni jukumu la mwanamke kumkabidhi mtoto Baba yake, ili atimize majukumu yake kwa usahihi. Vinginevyo Labda Baba awe amekubali kwa hiyari yake mtoto akae na Mama yake. Hiyo ni Sawasawa.

Lakini kama mwanamke ameondoka na mtoto kikaidi, kijeuri huyo mtoto kimazingira anakuwa sio wa Baba. Na hawezi Kupata HAKI za Baba yake za kimazingira ila za kibaolojia atazipata.

Kama ingekuwa Una heshimu muunganiko wako na mkeo usingetongoza nje na kufanya uzinzi......

Hii ni Kesi nyingine.
Mwanaume anaruhusa ya kuoa Wake wengi ingawaje Sisi Watibeli Haki hiyo hatuitumii(hatuoi wake wengi)
Mwanaume anayohaki ya kuwa na Wake na Masuria

Huyo mtoto ikithibitishwa kuwa ni mbegu yako basi anastahili jasho lako na kama huna hiyari basi mahakama itakulazimisha kufanya hivyo......

Mtoto mwenye akili zake hawezi kwenda Mahakamani kudai Urithi alionyimwa na Baba yake.

Ni hawa watoto haramu, wenye Laana ndio wanaweza kufanya hayo.

Mali ya Baba inakuwa halali kwa mtoto ikiwa Baba mwenyewe ameridhia. Vinginevyo Mali hiyo inageuka kuwa matatizo Kwa mtoto.

Ni jukumu la mtoto kumtii na kumheshimu Baba yake, kumfurahisha ili apate haki zake kwa Baba yake hasa zile haki kubwa ambazo zinatolewa kwa hiyari. Mfano, Urithi na Baraka.
 
NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Moderator msihariri hicho kichwa kupunguza ukali wa Maneno na kupoteza uzito wa ujumbe.

Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije ukajichanganya. Watakuua, utamalizwa.

Kuna mambo ukifanya nakuhakikisha umejiingiza kwenye Hatari kubwa ya kuangamizwa, kuuawa, kupotezwa. Mambo hayo yapo Katika Nyanja zote, kisiasa, kijamii na kiuchumi
Kama Ifuatavyo;

1. KISIASA,
a) Uhaini, kufanya mipango ya kumuua Mfalme au Rais, kuratibu au kushiriki mipango hiyo. Kwa namna yoyote Ile.
Watakuua nakuhakikishia, kama wewe ulivyopanga kumuua au kumpindua mfalme Basi tegemea matokeo makubwa ya Hatari yatakayokurudia.

b) Kuipasua nchi.
Mfano nchi ya Tanzania, ufanye Njama igawnyike Mapande Mapande kama vile Sudan Kusini na Sudan Kaskazini. Watakuua nakuhakikishia. Labda uwe na bahati Sana uchoropoke. Au uwe umewazidi mipango, mikakati na mbinu.

c) Kuungana na Adui wa Nchi.
Mfano, Korea Kaskazini na Kusini. Wewe ni Mkorea Kusini lakini unaunga Mkono Korea Kaskazini au kinyume chake. Watakuua mchana kweupe.

d) kusogeza Mpaka wa Nchi.
Mfano, Malawi wanaleta chokochoko wanataka labda ziwa na baadhi ya maeneo. Au vile Idi Amin anataka kuchukua baadhi ya maeneo ya Kagera alafu wewe unajifanya unaungana na Amini au Malawi ili Tanzania ichukuliwe maeneo yake. Watakuua nakuhakikishia.

e) Ugaidi
Matendo yoyote ya Kigaidi hasa ukiwa frontline na kiongozi. Utauawa Bila huruma.

f) Uasi Jeshini.
Wewe ni Mwanajeshi, labda ukaona Jambo Fulani linaenda ndivyo sivyo. Ukaamua kushawishi wenzako wenye mtazamo kama wako. Kaa ukijua Mchezo unaoenda kuufanya ni vita ya Kifo na uhai. Kuuawa ni njenje.

2. KIJAMII
a) Kulala na Mke au Mume wa Mtu.
Kuna wanasema, oooh! Huo ni ushamba, hooo! Kujichukulia Sheria mkononi, oooh! Sio uungwana.
My friend, huo uungwana ungeanza nao wewe hapo. Sio uchukue Wake/Waume za watu alafu uwatake wawe waungwana, watakuua nakuhakikishia. Utauawa, au kufirwa, au kufanyiwa matendo yanayolingana na Jambo ulilofanya.

MKE au Mume wa Mtu thamani yake ni kubwa kwenye maisha ya Mtu. Huwezi ukaenda kuchukua Mke au Mume wa Mtu alafu ukaleta Maneno yako ya kanisani au misikitini huko. Watakuua nakuambia.

Oooh! Haki za binadamu. Hizo Haki za binadamu zitumie kuheshimi Mali na vitu vya watu wengine. Kama Haki hizo hukuzitumia Jua hakuna atakayezikumbuka kuzitumia. Utauawa.

Labda ukutane na watu wasio na nguvu ya kufanya hayo. Lakini kama Mtu ananguvu yoyote Ile. Tegemea Kuuawa kikatili.

b) Urithi na wizi wa Mali.
Urithi ni Haki ya asili ya Mtu.
Unapochukua Haki hiyo tegemea Kuuawa.
Historia inajieleza, mauaji Mengi yamechangiwa na ishu ya Urithi na wizi wa Mali.

Wewe unajijua huna Haki ya kuchukua Mali Fulani, why utake kuichukua Mali hiyo kama sio dharau, kiburi na kujifanya mwamba. Hakika utauawa.

Mfano,
Umeolewa, huna Kazi ya maana, Mumeo ni tajiri wa kutosha, uwiano wenu wa mchango wa Mali kwako ni 20 Mume 80 yaani 2:8 au 1:4.
Imetokea mmegombana, alafu ukadai Talaka, alafu kwenye Mali unataka upewe nusu kwa nusu. Hakika yake utauawa. Hiyo sio Haki yako.
Inakuwa Haki yako ukiwa kwenye Ndoa lakini mara utakapoondoka haiwi yako tena Bali kila mtu anachukua kilichochake.
Ni kama kampuni. Kila mtu achukue Hisa zake.
Sasa kitendo cha wewe kutaka kuchukua Hisa ambazo sio zake ni kujitafutia matatizo makubwa ikiwezekana kuuawa.

Ndio maana Kila siku Mimi Mtibeli nawaambia wanawake na ninyi mfanye Kazi, muwe na Hisa zenu.
Sio mzae tuu au mjifiche kwenye kichaka cha kufanya Kazi za nyumbani sijui kulea.
Ilhali siku hizi matajiri na watu wengi Wana watafutia wadada WA Kazi na Kazi karibia zote hapo nyumbani zinafanywa na Dada wa Kazi.

Utauawa. Na Sisi Watibeli hatutashangaa kwa sababu Dawa ya watu kama ninyi ni Kifo hasa mkiwa mmedhamiria.

Mfano, 2
Mtoto wa nje hupaswi kudai HAKI ya Urithi kama hukulelewa kwenye familia ya Baba yako. Lilikuwa jukumu la Mama yako kupeleka kwa Baba yako ukaishi huko.
Kwa Sisi Watibeli tunajua Mtoto ambaye hujamlea huyo sio mtoto wako.
Mtoto wako ni Yule uliyemlea.

Mtoto atarithi kwa mama au upande wa Mamaake ikiwa alikulia huko. Hiyo ndio HAKI.
Achana na Maneno ya kilaghai na uongouongo na unafikinafiki yanayotokewa na HAKI zijui za binadamu. Haipo hivyo.

Sehemu ambayo hujakulia au kulelewa wewe utabaki kuwa mgeni tuu. Hata wewe mwenyewe ukifika nafsi yako itajiona hivyo.

Ndio maana Mimi Mtibeli kila wakati nawaambia, hasa wanawake ikiwa umeamua kukaa na mtoto Moja kwa Moja basi Hakikisha unatambua vitu muhimu kama hivyo.
Ukikaa na mtoto Hakikisha unamtafutia na Urithi kwa sababu huyo ni mtoto wako.
Sio ukae naye wewe alafu Biological father amtafutie Urithi ilhali hakai naye. Huyo sio mtoto wake kimazingira ila ni mtoto wake kibaolojia.

Lazima umuandalie na HAKI za Baraka zake kama mtoto.

Baba hawezi kumbariki mtoto ambaye hajaishi naye hizo Baraka zikashika. Tumia Akili ndogo kujua Hilo.
Baraka za Baba lazima ziwe na connection ya kimwili, kiroho na kimazingira.
Lazima Baba ajue Tabia na makuzi ya Mtoto.

Na umri sasa watoto kujuana na Baba ni Kati ya Miaka 0-15.

Baraka pia ni sehemu ya Urithi ambao unapiganiwa kufa kupona hasa na watoto wenye AKILI wenye mipango ya Muda mrefu na wanaotaka vizazi vyao viwe na Nguvu.

c) Kuiba mashamba au viwanja vya watu.
Utauawa wewe. Ugomvi wa ardhi umeua wengi Sana.

Acha niende Kanisani Kwanza, alafu tutaendelea.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hapo c, ni kweli 100%. Mwenye kudhulumiwa atatumia njia zozote zile iwe ni physical, Uchawi, Kukuwekea sumu au kukodi mamluki alimradi tu ahakikishe umeku-eliminate hapa duniani.
 
Na ukiona hajafanya hivyo ujue Hana uwezo tuu.
 
Back
Top Bottom