Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Point of addition
😂Huu Uzi ndo umeprove kuwa bongo watu wengi ni wajinga Sana..nimepost nine facts mtu kachukua mbili ambazo sijasema mtu awe shoga au Mimi ni shoga or wat...mmoja nimeongelea position ambayo hata wanawake wanafanya na nyingine nimeongelea wanyama...ila watu hawajaona vyote wameona tu ushoga cjui promotion
Mambo kama haya ndo maana serikali inaweza kuendesha akili zenu...unakumbuka ripoti ya CAG watu wamepiga mahela kibao wakaanza propaganda za kuongelea ushoga kwanzia bungeni, makanisani mpaka misikitini...mnasahau vinavyowahusu, Bei kupanda, umeme hamna maji hamna we upo tu ila mtu Akiwa chumbani akifanya tendo tofauti na Wewe ndo unakuja juu.. 😂jitathmini...nchi zilizoendelea hazina upuuzi kama huu wa kupush propaganda za kijinga coz wananchi Wana akili na sio bendera hufata upepo Kama sisi .. kama kwenye facts zangu umeona ushoga tu bac njoo na rebuttal njoo na hoja zenye evidence na fact kuhusu fact zote 9 ndo ubishani na Mimi...
 
Tupe fakt kwann ni uongo ..tuelezee kdg il 2elewe
Uliza kipi katika ya hivyo 9... nitakujibu nachoweza vingine nitakupa source za mtandaoni ukatafute...kama we ni wale wa "siamini google ila naamini mchungaji/sheikh/mjomba/kijiwe changu" bac hatuwezi saidiana kimaarifa
 
Sawa mkuu nimekuelewa... lakini vingi ni researched topic najua ni controversial facts katika jamii zetu ila ni reality...uzuri umeelewa
Mi katika kusafiri kwangu dunian aisee Mungu yupo. Shida ya Mungu anapatikana kwa yule anaemtafuta sio kwa wale wasio na shida nae. Pili kila kitu unachofanya ukaweka hapo akili zako zote unapata hicho hicho. Akiwazacho mjinga ndicho humtokea.
 
Mi katika kusafiri kwangu dunian aisee Mungu yupo. Shida ya Mungu anapatikana kwa yule anaemtafuta sio kwa wale wasio na shida nae. Pili kila kitu unachofanya ukaweka hapo akili zako zote unapata hicho hicho. Akiwazacho mjinga ndicho humtokea.
Hamna sehemu ambayo nimesema Mungu hayupo kwenye facts zangu 9... nimesema dini zote Zina claim kuwa ni za Mungu lakini ni manmade... so Mungu kuwepo au kutowepo sio part ya mada hio...
 
10. Simba Sc ni mbovu 🤓🤓🤓 hili nalo yanga & co. Ltd wanajidanganya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…