Mambo ambayo wabongo wengi wanaamini lakini ni uongo

Wewe ni mpumbavu namba moja tanzania kijana wa hovyo
 
Sasa umerudi pale pale. Kwamba hata hayo mawazo yako ni man med pia. Sio uhalisia maana wewe ndio umekuja na hili wazo
 
Lengo lako lilikua kutetea kufirana (ushoga) ila ukaamua kuongeza vitu vingine
 
Wewe ni mjinga ambaye hujaona ujinga wako na waliouona ujinga wako unawaona wao ndio wajinga. Mnatumia nguvu kubwa sana kupush agenda zenu nyeusi kwenye jamii zetu kwa sababu mnajua fika tuna miiko yetu iwe ya kiimani au kiutamaduni isiyokubaliana na agenda zenu nyeusi.

Kwa mamlaka ambayo Mungu amenipa naomba Mungu akulipe unachostahili!
 
99% ya haya uliyosema ni ukweli mtupu na maarifa makubwa sana ambayo vilaza wengi hawawezi kukuelewa.
 
1. Ratio ya wanaume na wanawake duniani iko karibia sawa, hili haliitaji ubishi. Chukua hata sensa ya nchi iliyofanyika mwaka jana. Unapofanyia kazi sio uwakilishi wa kisayansi wa Tanzania nzima, kuna sehemu nyingine pia watoto wa kiume wanazaliwa kwa ratio kubwa kuliko wale wa kike.

2. Mengine uliyoandika kuhusu masturbation ni pseudoscience zaidi kuliko science halisi.
 
Tanzania wanawake ni million 31, wanaume ni millioni 30. Kidunia wanaume ni wengi zaidi ya wanawake, wanaume wako 51% wanawake wako 49%.
 
Kama umeona ushoga tu kwenye post nzima yenye point 9 bac we ndo mwinyi ufinyu wa akili na siwezi kuwa na rational conversation na wewe
 
Mi sijabishana nae coz vingi kaongea ukweli na sio ushabiki na vingine ni kukosa data sahihi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…