Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo
Chawa hii habari hamuwezi ipenda sababu zile nafasi zenu za kupewa kama zawadi za ukuu wa wilaya, mkoa na ukurugenzi hazitakuwepo
- Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
- Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi yatakua na majimbo mengi
- Rais hatachagua jaji mkuu na majaji- mahakimu na majaji hawatafanya kazi kwa vimemo kama ilivyo sasa
- Rais hatamchagua dpp- faida ni kwamba yeyote atakayevunja sheria dpp atamgungulia kesi bila ya ruhusa ya Rais kama ilivyo sasa
- Rais hatamchagua igp- faida yake ni kwamba polisi hawatafanya kazi kwa mashinikizo ya wanasiasa
- Kwenye mashirika ya umma rais atapendekeza majina matatu kwa kila post ya taasisi na watafanyiwa interview atakayeshinda ndo atakua mkuu/boss wa taasisi mfano TRA, PsSSF, ATCL na mengineo
- Wakuu wa mikoa watachaguliwa kwa kupigiwa kura na baada ya hapo watapendekeza majina matatu kwenye kila wilaya ndani ya mkoa wake na tamisemi watawafanyia interview, huku nafasi za wakuu wa wilaya zitaondolewa
- Mawaziri hawatakuwa wabunge
- Rais akiondoka madarakan hatakua na kinga ya kutokustakiwa
Chawa hii habari hamuwezi ipenda sababu zile nafasi zenu za kupewa kama zawadi za ukuu wa wilaya, mkoa na ukurugenzi hazitakuwepo