Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

Muda wa watu kuota ndoto za Urais umefika...

Kuna mwenzako mwingine kaandika Gwajima atakuwa Rais hapo 2025
 
Aiiiseeeeeeeeeeee..........tundulissu!!!!!! i dont like ruling system but acheni kabisa kuota hyo ndoto kwamba kuna chama kitashika hii nchi zaidi hiki kinachotawala.
 
Mtu huyo yupi basi?Yaani unataka washabikie ujinga?Alifanya nini akiwa mbunge?Hata kugombea demokrasia kwenye chama chake hawezi.Wacha kutetea ujinga.
Mifumo imara ya chama ndiyo ilimpa fisadi lowasa kugombea urais.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mtu huyo yupi basi?Yaani unataka washabikie ujinga?Alifanya nini akiwa mbunge?Hata kugombea demokrasia kwenye chama chake hawezi.Wacha kutetea ujinga.
Bunge la ccm tokea mwaka 2020 limefanya nini
Najua unakasirika sababu zile nafasi zenu za uchawa za ukuu wa mkoa na wilaya hazitakuwepo tena pole
 
Bunge la ccm tokea mwaka 2020 limefanya nini
Najua unakasirika sababu zile nafasi zenu za uchawa za ukuu wa mkoa na wilaya hazitakuwepo tena pole
Endelea kujifariji.Muda ukifika tayarisha visingizio. Si ndio kawaida yenu?
 
Mke, watoto, dereva wa Lisu wote ni raia wa Marekani! Aende akashinde huko USA.

Tanzania hatutaki wanafiki.
#Tutashitakiwa MIGA

Pole sana kwa kukosa maarifa na upeo.

Lisu hajawahi kuwa mnafiki. Wanafiki ni hawa wanaosema Tume ya Uchaguzi ni huru wakati ipo kwenye minyororo ya Rais.
 
Ccm ilivyo sasa ndivyo Chadema itakavyokuwa wakipata urais
 
Kama mwenyekiti wake alidai mwaka jana atang'atuka lakini hajafanya hivyo ndiyo tuamini hizi ahadi! za makamu mwenyekiti? Bora CCM. Bora jini likujualo.
 
Sijaona ataletaje maendeleo hapo
Zaidi ni kubadili mfumo tu
Ajira ngapi atazalisha na vipi?
Tutakuwa na export gani
Je ataacha ombaomba kama wenzake?

Sijawahi kuona wanaongelea mambo ya maendeleo
 
Sijaona ataletaje maendeleo hapo
Zaidi ni kubadili mfumo tu
Ajira ngapi atazalisha na vipi?
Tutakuwa na export gani
Je ataacha ombaomba kama wenzake?

Sijawahi kuona wanaongelea mambo ya maendeleo
mfumo imara ndo msingi wa maendeleo nimeshangaa sana na hili hulijui upeo wa watanzania ni mdogo sana
 
Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo

  • Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
  • Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi yatakua na majimbo mengi
  • Rais hatachagua jaji mkuu na majaji- mahakimu na majaji hawatafanya kazi kwa vimemo kama ilivyo sasa
  • Rais hatamchagua dpp- faida ni kwamba yeyote atakayevunja sheria dpp atamgungulia kesi bila ya ruhusa ya Rais kama ilivyo sasa
  • Rais hatamchagua igp- faida yake ni kwamba polisi hawatafanya kazi kwa mashinikizo ya wanasiasa
  • Kwenye mashirika ya umma rais atapendekeza majina matatu kwa kila post ya taasisi na watafanyiwa interview atakayeshinda ndo atakua mkuu/boss wa taasisi mfano TRA, PsSSF, ATCL na mengineo
  • Wakuu wa mikoa watachaguliwa kwa kupigiwa kura na baada ya hapo watapendekeza majina matatu kwenye kila wilaya ndani ya mkoa wake na tamisemi watawafanyia interview, huku nafasi za wakuu wa wilaya zitaondolewa
  • Mawaziri hawatakuwa wabunge
  • Rais akiondoka madarakan hatakua na kinga ya kutokustakiwa
Haya mabadiliko yataifanya Tanzania kuwa na strong institution in afrika

Chawa hii habari hamuwezi ipenda sababu zile nafasi zenu za kupewa kama zawadi za ukuu wa wilaya, mkoa na ukurugenzi hazitakuwepo
Lissu awe kwanza Mwenyekiti wa chadema kwa miaka 10,kisha tutampima na atakuja ccm agombee urais sio kwa wahuni wanaozusha na kutukana mitandaoni.
 
Back
Top Bottom