Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Una huyu makalioMke, watoto, dereva wa Lisu wote ni raia wa Marekani! Aende akashinde huko USA.
Tanzania hatutaki wanafiki.
#Tutashitakiwa MIGA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una huyu makalioMke, watoto, dereva wa Lisu wote ni raia wa Marekani! Aende akashinde huko USA.
Tanzania hatutaki wanafiki.
#Tutashitakiwa MIGA
Naongelea kwa ujumla nchi za kimasikini huu mfumo unaoongelea hakuna corruption ndio mfumo hata umuweke nani akiingia anabadilikamfumo imara ndo msingi wa maendeleo nimeshangaa sana na hili hulijui upeo wa watanzania ni mdogo sana
Ndo mana nikasema vyama vyote n matapeliTuendelea kuongozwa na chama hichi kwa sababu ukiwapa wengine watajijenga aisee kwa hizi fikra tunasafari ndefu sana kama taifa
Rais wa TFF au Rais Puppets? 🐒Iko wazi na sio siri mwakan Tundu lissu ndo Rais ajaye; baada ya kuwa Rais atafanya yafuatayo
Haya mabadiliko yataifanya Tanzania kuwa na strong institution in afrika
- Rais hatachagua mkuu wa tume na wajumbe wake- tume itakua huru kwa asilimia 100
- Majimbo ya uchaguzi yataamuliwa kwa wingi wa watu na kila baada ya miaka 10 yatachorwa upya sehemu yenye watu wengi yatakua na majimbo mengi
- Rais hatachagua jaji mkuu na majaji- mahakimu na majaji hawatafanya kazi kwa vimemo kama ilivyo sasa
- Rais hatamchagua dpp- faida ni kwamba yeyote atakayevunja sheria dpp atamgungulia kesi bila ya ruhusa ya Rais kama ilivyo sasa
- Rais hatamchagua igp- faida yake ni kwamba polisi hawatafanya kazi kwa mashinikizo ya wanasiasa
- Kwenye mashirika ya umma rais atapendekeza majina matatu kwa kila post ya taasisi na watafanyiwa interview atakayeshinda ndo atakua mkuu/boss wa taasisi mfano TRA, PsSSF, ATCL na mengineo
- Wakuu wa mikoa watachaguliwa kwa kupigiwa kura na baada ya hapo watapendekeza majina matatu kwenye kila wilaya ndani ya mkoa wake na tamisemi watawafanyia interview, huku nafasi za wakuu wa wilaya zitaondolewa
- Mawaziri hawatakuwa wabunge
- Rais akiondoka madarakan hatakua na kinga ya kutokustakiwa
Chawa hii habari hamuwezi ipenda sababu zile nafasi zenu za kupewa kama zawadi za ukuu wa wilaya, mkoa na ukurugenzi hazitakuwepo
Kama umekata tamaa ni wewe na sio kila mtu amekataa tamaa wako ambao wanaamini wanaweza fanya jamboNaongelea kwa ujumla nchi za kimasikini huu mfumo unaoongelea hakuna corruption ndio mfumo hata umuweke nani akiingia anabadilika
Ukitaka kubadili haya wanakuona kiherehere na kukutoa roho
Tunaona kila leo yanayotokea nchi masikini hata anepindua nchi na kujifanya atabadili wanaangukia kwenye tamaa zao
Sio suala la kukata tamaaKama umekata tamaa ni wewe na sio kila mtu amekataa tamaa wako ambao wanaamini wanaweza fanya jambo