Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

Muda wa watu kuota ndoto za Urais umefika...

Kuna mwenzako mwingine kaandika Gwajima atakuwa Rais hapo 2025
 
Aiiiseeeeeeeeeeee..........tundulissu!!!!!! i dont like ruling system but acheni kabisa kuota hyo ndoto kwamba kuna chama kitashika hii nchi zaidi hiki kinachotawala.
 
Mtu huyo yupi basi?Yaani unataka washabikie ujinga?Alifanya nini akiwa mbunge?Hata kugombea demokrasia kwenye chama chake hawezi.Wacha kutetea ujinga.
Mifumo imara ya chama ndiyo ilimpa fisadi lowasa kugombea urais.
 
Reactions: Tui
Mtu huyo yupi basi?Yaani unataka washabikie ujinga?Alifanya nini akiwa mbunge?Hata kugombea demokrasia kwenye chama chake hawezi.Wacha kutetea ujinga.
Bunge la ccm tokea mwaka 2020 limefanya nini
Najua unakasirika sababu zile nafasi zenu za uchawa za ukuu wa mkoa na wilaya hazitakuwepo tena pole
 
Bunge la ccm tokea mwaka 2020 limefanya nini
Najua unakasirika sababu zile nafasi zenu za uchawa za ukuu wa mkoa na wilaya hazitakuwepo tena pole
Endelea kujifariji.Muda ukifika tayarisha visingizio. Si ndio kawaida yenu?
 
Mke, watoto, dereva wa Lisu wote ni raia wa Marekani! Aende akashinde huko USA.

Tanzania hatutaki wanafiki.
#Tutashitakiwa MIGA

Pole sana kwa kukosa maarifa na upeo.

Lisu hajawahi kuwa mnafiki. Wanafiki ni hawa wanaosema Tume ya Uchaguzi ni huru wakati ipo kwenye minyororo ya Rais.
 
Ccm ilivyo sasa ndivyo Chadema itakavyokuwa wakipata urais
 
Kama mwenyekiti wake alidai mwaka jana atang'atuka lakini hajafanya hivyo ndiyo tuamini hizi ahadi! za makamu mwenyekiti? Bora CCM. Bora jini likujualo.
 
Sijaona ataletaje maendeleo hapo
Zaidi ni kubadili mfumo tu
Ajira ngapi atazalisha na vipi?
Tutakuwa na export gani
Je ataacha ombaomba kama wenzake?

Sijawahi kuona wanaongelea mambo ya maendeleo
 
Sijaona ataletaje maendeleo hapo
Zaidi ni kubadili mfumo tu
Ajira ngapi atazalisha na vipi?
Tutakuwa na export gani
Je ataacha ombaomba kama wenzake?

Sijawahi kuona wanaongelea mambo ya maendeleo
mfumo imara ndo msingi wa maendeleo nimeshangaa sana na hili hulijui upeo wa watanzania ni mdogo sana
 
Chadema atataka kuanza kujijenga yeye kwanza, yn vyama vyote n vya kitapeli
Tuendelea kuongozwa na chama hichi kwa sababu ukiwapa wengine watajijenga aisee kwa hizi fikra tunasafari ndefu sana kama taifa
 
Lissu awe kwanza Mwenyekiti wa chadema kwa miaka 10,kisha tutampima na atakuja ccm agombee urais sio kwa wahuni wanaozusha na kutukana mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…