Mambo atakayoyafanya Tundu Lissu baada ya kushinda uchaguzi wa 2025 kwa kishindo

mfumo imara ndo msingi wa maendeleo nimeshangaa sana na hili hulijui upeo wa watanzania ni mdogo sana
Naongelea kwa ujumla nchi za kimasikini huu mfumo unaoongelea hakuna corruption ndio mfumo hata umuweke nani akiingia anabadilika

Ukitaka kubadili haya wanakuona kiherehere na kukutoa roho
Tunaona kila leo yanayotokea nchi masikini hata anepindua nchi na kujifanya atabadili wanaangukia kwenye tamaa zao
 
Rais wa TFF au Rais Puppets? 🐒
 
Kama umekata tamaa ni wewe na sio kila mtu amekataa tamaa wako ambao wanaamini wanaweza fanya jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…