Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

Ni vitu gani usivyopaswa kumfanyia MTU ambaye hujamuoa? Na vipi vya kumfanyia?
Mkuu jazia nyama kwenye swali lako, HUDUMA zinategemea na fikra zako juu ya huyo mwanamke.

Kuna demu ambaye hujamuoa ila una mpango wa kuja kumuoa(MCHUMBA), NA kuna demu ambaye hujamuoa na huna mpango wowote wa kumuoa(PISI,KIMADA,MALAYA,MLUPO,KING'AST,MANZI,DEMU,SHORI,MCHUCHU,).

Tueleze ni MTU yupi hasa umemkusudia?
 
Hapa kwa mwanamke uliyenae kwenye uhusiano usio rasmi ila sio kahaba.....
 
Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia?

Which is the line of demarcation?
jitahidi sana usitoe siri zote za ufalme wako...

kuwa makini sana, hifadhi vema strengths na weaknnes zako...
dont open each and everything kwa mchumbaz...

wema na upendo wako kwake usizidi uwezo na ustahimulivu wako. utaumia sana bahati mbaya akabadili gia angani na kubadili uelekeo........
 
Mpe pesa mwanamke wako ili asipate vishawishi, hakikisha unamjaza pesa za kutosha kwenye pochi lake.!!
Sisi wanawake tukipewa pesa nyingi sio wasumbufu kabisaaa ila usimuombe papa ili kujilindia mzigo wako mpk ndoa. 😜
 
Hapa kwa mwanamke uliyenae kwenye uhusiano usio rasmi ila sio kahaba.....
Mpe huduma kulingana na namna anavyokuwa msaada kwenye Maisha yako. Na vilevile Mpatie huduma kama zawadi kwa yale mazuri ambayo anakuwa anakutendea. Yaani huduma yako iwe kama REWARD na sio WAJIBU.

USICHOTAKIWA KUFANYA ni kubeba majukumu full ya Baba yake Mzazi na kuyafanya wewe. (Mf, Kusomesha na mengine yanayofanana na hayo).

Be a Man, Focus na kujenga future ya maisha yako na kizazi chako, na mengine yote utazidishiwa. Achana na Wanawake endapo haupo vizuri kiuchumi.
 
Back
Top Bottom