Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Jirani mfungo unakuchanganya sio bure.Mpe pesa mwanamke wako ili asipate vishawishi, hakikisha unamjaza pesa za kutosha kwenye pochi lake.!!
Sisi wanawake tukipewa pesa nyingi sio wasumbufu kabisaaa ila usimuombe papa ili kujilindia mzigo wako mpk ndoa. ๐