Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia?

Which is the line of demarcation?
  1. msiweke mipango ya pamoja ya maendeleo (hasa uwekezaji) kwa sababu mkimwagana katikati ya njia mtaishia kuuana ama kupelekana mahakamani
  2. Usimsomeshe, hilo jukumu la serikali (HESLB) na wazazi wake
  3. Usimwambie siri zako zote, mkimwagana atazitoa nje
 
Back
Top Bottom