Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

pm zinahakiwa utajikuta uko kwa samia umevaa gagulo na nepi ,😉😉😂😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Hamna zetu za umbea hazina shida, ila hao wazalendo waliokunywa maji ya bendera ya taifa ndo wawe makini
 
Matumizi hayawezi kusubiri sababu lazima umuhudumie mwanamke wako, ila mbususu mpk ndoa unaweza kuvumilia PERIOD.
Vyote visubiri ndoa tu hii kitu ya kuwekeza sehemu hupati faida ni ujinga wa hali ya juu, au La kila mtu apate kulingana na avotoa.
 
Daaas hapo mnawindanaa sana safari ni ndefu saba hadi watu wafike kuapa ni safarii
 
Back
Top Bottom