Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

jitahidi sana usitoe siri zote za ufalme wako...

kuwa makini sana, hifadhi vema strengths na weaknnes zako...
dont open each and everything kwa mchumbaz...

wema na upendo wako kwake usizidi uwezo na ustahimulivu wako. utaumia sana bahati mbaya akabadili gia angani na kubadili uelekeo........
Hii inaumiza wengi sana, issue ni kwamba wengine wakishapata wenzi tu wanabwabwaja plans zao zote mbele ya mwanamke so anapima malengo yako na plans zake na akiona hautoshi anakubwaga.
 
Back
Top Bottom