Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Aisee mimi naenda zangu Bar nakunywa tena ikiwezekana toka asubuh najiwasha
 
Huwa Nina playlist yangu ya worshipping song za apostle Joshua Selman.

Najifungiaa ndanii
Nalala chini ... nafungulia hizo nyimbo

Kama naskia kulia naliaaa haswaaaa plus praying in tongue

Ivo tu
Tupo same Watsap group...
 
Nyeto
 
Huwa Nina playlist yangu ya worshipping song za apostle Joshua Selman.

Najifungiaa ndanii
Nalala chini ... nafungulia hizo nyimbo

Kama naskia kulia naliaaa haswaaaa plus praying in tongue

Ivo tu
Tupo same Watsap group...
Which group? 😳
 
Napenda kuwa alone then baada ya hapo nafanya vitu kutokana na vibe litakalo kuja wakati huo.
 
1.nakuwa calm completely calm trying to figure out what is going on and how I can overcome it.
2.Nasoma kitabu yaani hapo nitasoma siku nzima then nakuwa sawa.
3.naenda nje kujichanganya na wana

Haijalishi napitia kipindi gani ila nikifahya hvyo vitu vitatu na gain energy.
 
Naingia mtandaoni naandika post za kinanii najikuta busy kubishana na nisiowajua wengi viazi so huwa wanafurahisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…