Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Depression, staki kukumbuka maana niligongwa na gari kwa sababu ya kuingia barabarani bila kuangalia kushoto wala kulia 🙌🏾🙌🏾

hiyo siku sitoisahau ndio maana sipendi attack watu hovyo hovyo kwa sababu sijui ni nini wanapitia.
Pole sana
 
Naaungishia yote kwenye kiuno, nikitoka hapo chakachaka yani nakoroma tu!
 
Polee Eyce
Ulifanyaje hiyo hali ikaisha?
Nakumbuka tu hisia zilikufa na niliacha kazi kwa sababu ilikuwa ni moja ya stress kubwa na hainilipi.

Niliongea na watu wangu wa karibu so, ilipungua lakini trauma yake haijawahi kuisha kwa sababu bado nilikuwa nakutana na mengi ambayo hayakuniruhusu kuwa weak.
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Naendelea na ratiba yangu ya siku hiyo
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Kwahiyo kumbe hufanyagi usafi mpaka mtu akukere..??
ila member wa mnajua kunifurahisha...🤣
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Nasikiliza qur,an tu nikikereka
 
Mm uwa napika makande kwenye kuni ile process ya kuchochea kuni unajikuta masaa yamekata. Hasa ikitokea mvua unawez kumaliz wiki
 
Back
Top Bottom