Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaDepression, staki kukumbuka maana niligongwa na gari kwa sababu ya kuingia barabarani bila kuangalia kushoto wala kulia 🙌🏾🙌🏾
hiyo siku sitoisahau ndio maana sipendi attack watu hovyo hovyo kwa sababu sijui ni nini wanapitia.
Shukrani ila ni life tu 🙏🏽Pole sana
Yeah sureShukrani ila ni life tu 🙏🏽
Anataka kujimwambafai wakati hajakuwekea hata sumni huko benki 🤣Si zangu mkuu hata kama ni afu tatu.
Nakumbuka tu hisia zilikufa na niliacha kazi kwa sababu ilikuwa ni moja ya stress kubwa na hainilipi.Polee Eyce
Ulifanyaje hiyo hali ikaisha?
Naendelea na ratiba yangu ya siku hiyoMimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Kuna asilimia huwa unaacha kwa ajili ya ulinzi na dharura.. Huondoki mazima😂Mkuu kumbe kilinge bado hujakiacha kabisa kabisa? 😂
Kwahiyo kumbe hufanyagi usafi mpaka mtu akukere..??Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Nasikiliza qur,an tu nikikerekaMimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Si ndio hapo mkuu.Anataka kujimwambafai wakati hajakuwekea hata sumni huko benki 🤣
Mambo ya maisha,hapa najaa shingoni I wish nilieKwanini mkuu?
Ipo jirani, mpk stress ziishe ushapiga pesa ndefu..!! 😹Yaani kuna njia za kupata hela ukiwa na strss na huniambii jirani😃😃,.
Sijapendaaa