Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo, jamaa akimtuma mtu akuudhi, unampelekea mbususu..!!Hii ya miti hata mimi huwa inanisaidia sana kiukweli
Huendagi La-charles?1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basi😂😂😂
Mimi naona hiyo namba 2 ni therapy nzuri sana.1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basi😂😂
Mkuu kumbe kilinge bado hujakiacha kabisa kabisa? 😂Narudigi kilingeni.. Kule huwa napata majibu mengi sana
Wanawake hawafanyi?Ifike mahali tukubaliane punyeto ni mkombozi wa wanaume 🙌
Nakumbuka hii tulifundishwaga na mzungu flani hivi shuleni kwetu,. Tulikuwa wadogo sijui darasa la6 lile hadi leo naitumia,. Sema huwa inanisaidia😄😄Mimi naona hiyo namba 2 ni therapy nzuri sana.
Haha😃😂,. Huko ni pombe mkuu sometimes pombe haisaidiagi kuondoa msongo wa mawazoHuendagi La-charles?
Eeh!😲Mm hua napiga nyeto, nikikirusha tuu kile kimoja bc ni sawa na nmemtoa huyo aliyeniudhi na kubaki na amani ya moyo
Inasaidia. I read about that idea kwenye kitabu na pia nilishawahi kusikiliza kwenye podcast ya Mel.Nakumbuka hii tulifundishwaga na mzungu flani hivi shuleni kwetu,. Tulikuwa wadogo sijui darasa la6 lile hadi leo naitumia,. Sema huwa inanisaidia😄😄