Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basi😂😂😂
Huendagi La-charles?
 
1. Nalia sana sana
2 Nafanya usafi( Najikeep so busy)
3.Nakaa gizani na kusikiliza my inner spirit taratibu ikinipa moyo.
4.Sometimes, I read an interesting Book.
 
1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basi😂😂
Mimi naona hiyo namba 2 ni therapy nzuri sana.
 
1. Nikiwaza tu kuna siku nitakufa na haya yote yatakuwa na mwisho basi ninaona cha kusikitika au kuwa down ni nini?
2. Kama ni mtu kanikera nikiwaza ipo siku mimi na yeye tutaiacha dunia basi ninamuona mpuuzi na ninamsamehe yanapita maisha yanaendelea
3. Nikiwa na stress huwa ninatoka ninatembea barabarani kwenye mikusanyiko ya watu wakiwa kwenye mishe mishe zao...ile hali ya kuwaona watu wa aina tofauti tofauti...tena wengine ni wapiga debe wanafanya kazi huku wakiwa wanataniana na kufurahi...ninamshukuru mungu kwa maisha na ninarudi nyumbani nikiwa na furaha
 
Nakumbuka hii tulifundishwaga na mzungu flani hivi shuleni kwetu,. Tulikuwa wadogo sijui darasa la6 lile hadi leo naitumia,. Sema huwa inanisaidia😄😄
Inasaidia. I read about that idea kwenye kitabu na pia nilishawahi kusikiliza kwenye podcast ya Mel.
But their idea ilikua kuandika the positive things or achievements however small au big it is, iandike kwenye karatasi and be proud of yourself. Don't let negativity in your way but celebrate your positivity.
 
Depression, staki kukumbuka maana niligongwa na gari kwa sababu ya kuingia barabarani bila kuangalia kushoto wala kulia 🙌🏾🙌🏾

hiyo siku sitoisahau ndio maana sipendi attack watu hovyo hovyo kwa sababu sijui ni nini wanapitia.
 
Depression, staki kukumbuka maana niligongwa na gari kwa sababu ya kuingia barabarani bila kuangalia kushoto wala kulia 🙌🏾🙌🏾

hiyo siku sitoisahau ndio maana sipendi attack watu hovyo hovyo kwa sababu sijui ni nini wanapitia.

Polee Eyce
Ulifanyaje hiyo hali ikaisha?
 
Back
Top Bottom