Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Naenda nyikani, na kutafakari mafanikio yangu kulinganisha na historia ya maisha yangu.

Nawapigia simu wazazi tunapiga stori nyingi, wansnisimulia mambo mengi ya nyumbani mbali na nyumbani
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Namywea tu alienipa stress asubuhi namface alimaanisha nini anieleze taratibu then nahitimisha na mkwara mzito tusichukuliane poa na kama ni sehemu ya kazi basi heshima ifuate mkondo wake!
 
namkaa asubuhi nakunywaa pombe nakula kdg navutaa sigara nalewaa narudi nyumbani nalalaa usiku pombe zikikata sipati usingi na cheki moviee pakikucha naend tn kulewa kimsingi msongo wa mawazo haujawai kuniacha asanteni

Pole mkuu
Sababu za msongo wa mawazo kwako ni zipi?
 
Nawaona wakishua mnahadithiana expensive life
Anyway binafsi hata sijui huwa nafanya nini
Kama ni kubwa huwa naliacha naendelea na mengine kama ni dogo na deal nalo ki ulalo ulalo hadi liishe

Hahahahh mkuu mbona sijaona aliyeonesha ushua
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari

Nanunua kila kitu nachoitaji, naondoka home Naenda Mwanza ( nakaa na familia yangu Arusha ) kuna Nyumba ambayo nimejenga Mwanza. Hata mke haujui, nakaa ndani hata week nzima, movie. Kulala, kupika!
 
Trust me hiyo njia ya pili ni njia moja kubwa sana, imewasaidia watu wengi na nina pendekeza kama kuna mtu anapitia MSONGO WA MAWAZO (Depression) sio STRESS (MAWAZO) maana hapo juu nimeona wengi wameizungumzia hasira na stress, mtu mwenye msongo wa mawazo (depression) hawezi kula, kusex wala kulala, depression ni kitu kikubwa sana, anyway,

Mwenye Depression achukue peni na karatasi na kujiandikia yeye barua na kuandika yote yanayomsibu kisha aanze kujisemea maneno mazuri mfano "kwako Lee najua unapitia ABCD, usijali hakuna kitu kinakaa milele, yatapita na utasahau, wewe ni mzuri, mwenye akili, mwenye upendo na zaidi una nguvu na jasiri sana, nakupenda sana na napenda kukuona ukipambana bila kukata tamaa, n.k"
I like this😍
 
Hahahahh mkuu mbona sijaona aliyeonesha ushua
Jokes tu Wala usijali stress hazina ushua
Binafsi huwa natembea na kwenda gym inasaidia kwa kiasi chake
Huwa sichangamani sana nisije kusimulia hata kile watu hawapaswi kujua
 
🤣 noted, ili nisisahau kulog in.. Hivi kunani kwani? Maana niliona memes inasema kama kesho unaenda Kazini basi hiyo sio kazi..

Kuna kama 2 weeks zilipita, kila nikiingia sioni uzi wa kucomment, nikahamia X
Si nasikia nyie waTanzania mna ugeni mkubwa leo 😆
 
Nanunua kila kitu nachoitaji, naondoka home Naenda Mwanza ( nakaa na familia yangu Arusha ) kuna Nyumba ambayo nimejenga Mwanza. Hata mke haujui, nakaa ndani hata week nzima, movie. Kulala, kupika!
Ukifa ghafla hiyo nyumba si itapotea!?
Mi nikiwa na wife lazima nipange chumba mbali sana ili niwe naenda kupumzika huko
Napenda sana ukimya
 
Ukifa ghafla hiyo nyumba si itapotea!?
Mi nikiwa na wife lazima nipange chumba mbali sana ili niwe naenda kupumzika huko
Napenda sana ukimya

Nina watoto 4, nina Nyumba 5 ( ukiacha hii ) , moja wanakaa ( ni ya mke wangu ) 4 kila moja ni ya mtoto na Inajulikana mpaka kwa wazazi wangu, Hii ya Mwanza ni kimbilio langu, wanawake wanatesa sana, lazima mwanaume Uwe na mfumo wa Maisha nje ya familia! Kuna Dogo nashibana naye sana anaitunza, Usafi, garden, I don’t care akibaki nayo!
 
Natumia hela vibaya i.e shopping isiyo ya lazima ya mavazi na chakula......hivyo najilinda sana na kukerwa au kuudhiwa
 
Nina watoto 4, nina Nyumba 5 ( ukiacha hii ) , moja wanakaa ( ni ya mke wangu ) 4 kila moja ni ya mtoto na Inajulikana mpaka kwa wazazi wangu, Hii ya Mwanza ni kimbilio langu, wanawake wanatesa sana, lazima mwanaume Uwe na mfumo wa Maisha nje ya familia! Kuna Dogo nashibana naye sana anaitunza, Usafi, garden, I don’t care akibaki nayo!
Ok Cha msingi ni vile unajisikia ila kuwa na eneo asilojua wife kwa ajili ya mapumziko hiyo ni given lazima uwe na mahali wanajua we ni senior field marshall na huna familia
 
Ok Cha msingi ni vile unajisikia ila kuwa na eneo asilojua wife kwa ajili ya mapumziko hiyo ni given lazima uwe na mahali wanajua we ni senior field marshall na huna familia

Muhimu Kaka, ukikaa vibaya kwenye mfumo wa mwanamke, tunakuzika haraka! Hawa watoto na Mama yao ni waasi watarajiwa
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Narudigi kilingeni.. Kule huwa napata majibu mengi sana
 
Back
Top Bottom