Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Napiga nyeto
Cc ephen_ FaizaFixy
 
1000021331.jpg
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
mtu akinikera nje na nyumbani basi wife atapelekewa moto kwa hasira mpaka zinakata, kama wife basi nitakaa mbali na yeye maana akikaa karibu anaweza kula makofi
 
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi

Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu

Uzi tayari
Uwe na msongo wa mawazo kisha uwe huna hela kisha tena uwe huna hata wa kukujulia hali!

Lazima dunia iwe si sehemu salama ya kuishi
 
1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basi😂😂😂
Kuandika yanayokusibu sio style ya kitoto
 
Back
Top Bottom