Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kitu cha kufurahia yani unafanya mapenzi na wewe mwenyeweIfike mahali tukubaliane punyeto ni mkombozi wa wanaume 🙌
Thread 'Nukuu 6 za kurejesha hamasa na matumaini pale maisha yanapokua tofauti na matarajio' Nukuu 6 za kurejesha hamasa na matumaini pale maisha yanapokua tofauti na matarajioMimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Hahaha!Jinsia yako?😉
Nasoma tu comment 😃😃😃Hii ya miti hata mimi huwa inanisaidia sana kiukweli
Nilijua me unalia hadi kwikwi😁🤣👐Hahaha!
Ke
Mtu akinikera natoka/nitolewe out. Nakunywa wine na nyama choma.
Lakini pia ili nisahau kwa haraka nafanya kazi/usafi kazini na nyumbani vizuri nikiwa nimenuna.
😜
Nili kupeza rafikiNimecheka balaa
Kwamba unautandaza utajiri wotee