DahππJitahidi kupambana kama Bado unaweza toa pesa zako zote bank kupitia ATM
Napiga nyetoMimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Ndio utajiri wangu huo madam. πNimecheka balaa
Kwamba unautandaza utajiri wotee
mtu akinikera nje na nyumbani basi wife atapelekewa moto kwa hasira mpaka zinakata, kama wife basi nitakaa mbali na yeye maana akikaa karibu anaweza kula makofiMimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Huo ndio ukweli, jaribu ujionee πMzee wa kuharibu.
Umesema zote alafu kwenye ATM hapo panapo kuwa na mshangao.Si zangu mkuu hata kama ni afu tatu.
Dah Mbona unaua inzi kwa risasi πJitahidi kupambana kama Bado unaweza toa pesa zako zote bank kupitia ATM
Uwe na msongo wa mawazo kisha uwe huna hela kisha tena uwe huna hata wa kukujulia hali!Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu
Uzi tayari
Hii haina ni kwa rika zote na haina disappointmentSheria mkononi naona ni mkombozi wa wengi π€£
Yap zote kwani kuna shida?Umesema zote alafu kwenye ATM hapo panapo kuwa na mshangao.
Kuandika yanayokusibu sio style ya kitoto1.kula ( nikiwa na stress nakula sana mkuu )
2.Japo ya kitoto ila huwa inanisaidia sana,. Huwa nachukua karatasi na peni naandika kila kitu kinachonisumbua na kunikera yaani like namuhadithia mtu hivi,. Nikimaliza nachana chana basiπππ
Jinsia yako?π1. Naliaaaa weee mpaka kwikwi
2. Mziki sauti mpaka mwisho.
3. Nalala
Hamu ya kula na kufanya chochote inakata.