Mambo gani ni muhimu au lazima kuyafanya kila siku?

Haha sawa mkuu asante kwa mwongozo unaweza kuweka picha moja ya Pyrometrics (animated)
Miruko tuu hiyo mwanawane wala usizdhani mazoezi apecial, chingereza tuubwembwe nyingi.
Wee ruka ruka tuu kama ulivyokuwa wafanya ukiwa darasa la saba.
Ila kesho yake mabega utasema mwenyewe
 
Miruko tuu hiyo mwanawane wala usizdhani mazoezi apecial, chingereza tuubwembwe nyingi.
Wee ruka ruka tuu kama ulivyokuwa wafanya ukiwa darasa la saba.
Ila kesho yake mabega utasema mwenyewe
anhaa kama tu Jumping jacks kumbe
 
Nice & Lovely uko genuine sana na maelezo yako, daily routine imepangiliwa bosslady
Mshangazi dot com are you taking notes ๐Ÿ™‚
 
Nice & Lovely uko genuine sana na maelezo yako, daily routine imepangiliwa bosslady
Mshangazi dot com are you taking notes ๐Ÿ™‚
Nakubaliana na wewe, anasoma na Email hicho kitu adimu sana kwa watanzania wengi kufanya๐Ÿ‘๐Ÿป๐Ÿ‘๐Ÿป๐Ÿ‘๐Ÿป
 
Kwema wakuu

Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia

Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Kumuomba na kumshukuru Mungu
 
Zoezi
kula matunda & chai ya tangawizi.
Kusoma kitabu kwa dk 10-15.
Kufatilia fursa mbali mbali in & outside ya nchi yako(Kuna platform).

semen retention
Kuwa na kikao na Wana harakati wenzio kuhusu fursa mbali mbali.
Recuperation muhimu sana.

Over analysing movement zako za siku nzima, hata Kama uli kohoa Kumbuka na uitazame kwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ