Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

Mimi ni mtu nayependa upweke sana na ukimya,hivyo sina marafiki wengi kabisa,na baadae rafiki zangu tuliotokea utotoni wakafariki basi kwa sasa rafiki zangu ni hawa wake zangu 2,watoto wangu basi.Nipo kimyaaa hata baa nayokwenda kunywa huwa nakaa kona moja iliyojificha kabisa.
 
Uliodhani ni marafiki wakati wa shida wakakuonesha rangi zao za kweli
 
Nina sura ya β€œ SERIOUS WEEK”
Wengi wananiogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…