PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu upande wako wewe unasemaje?
Au ww una hisi tunaenda kutawaliwa na jeshi kwa muda?
Jeshi la Tanzania haliwezi vitu kama hivi kwa sababu serikali inayoongozwa na CCM wanajua jinsi ya kula na wakubwa.

Yaani wanapewa pesa zozote wazitakazo, wanawaambia chungeni hao makopro na wasio na cheo chochote wasije kuungana na raia!.
 
Shida ya ku copy na kupaste ndio hii.....umekuwa kokoro😅😅
 
Shida ya ku copy na kupaste ndio hii.....umekuwa kokoro😅😅
This is my own scribes, not copied any where, u refrain to agree on disagreements, unfortunately that's the policy of your miserable CDM
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki mama hawezi mshinda Lissu nae mama anajua
 
Uchaguzi ukiwa huru na haki mama hawezi mshinda Lissu nae mama anajua
😀nyie si ndyo mliowahi kuweka kambi airport, eti mnasubiri ndege ya kuwapeleka mbinguni. IMANI na confidence za kijinga ni opium of the poor
 
Jeshi la Tanzania haliwezi vitu kama hivi kwa sababu serikali inayoongozwa na CCM wanajua jinsi ya kula na wakubwa.

Yaani wanapewa pesa zozote wazitakazo, wanawaambia chungeni hao makopro na wasio na cheo chochote wasije kuungana na raia!.
Aisee hatari.
 
Naomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Ubashiri: hufanywa na waganga au watu wenye maono ya kiroho kuhusu mambo yatakayotokea siku zijazo. Hili limekaa kiroho zaidi.
Utabiri: Hufanywa kwa kutumia vigezo vya kisayansi au ujuzi wa mtu (experience, elimu) kuhusu mambo yanayoweza kutokea. Hili limekaa kisayansi/elimu na experince ya mtu kuhusu kinachoweza kutokea.
 
Ila watanzania, acha waseme tu kuwa tuna uwezo mdogo wa kufikiri.
Mtu unawezaje kuandika vitu kama hivi kwa ujasiri.
 
Hii namba nne ikifanyika CHadema haitochukua urais wasije kurudia makosa ya 2015. Heshima ya chama ni kumpa mtu nafasi ya kugombea urais aliyekihangaikia chama na siyo mwanachama ambaye hana hata mwaka ndani ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…