Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
AsanteMbona km umeongea kitu kimoja mkuu?
Ubashiri/utabiri ni kitu kimoja
Hii watu hutumiwa na pepo wa utambuzi,kuona yajayo au yaliyopita(wachawi/waganga/wanaotumia nguvu za giza)
Tofauti na 'unabii'..unabii ni wale ambao Mungu anawatumia (Roho wa Mungu)
ThanksHuu ni ubashiri tu kama vile simba ikicheza na lipuli nini kitatokea. SIkuizi ni ajira kabisa
hauna sifa za utabiri
AsanteKubashiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance bila basis yoyote (pure gut feeling)! Kutabiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance kwa kutumia relevant knowledge and experience. Utabiri ni methodical.
Mwenye andiko hajasema basis ya maoni yake. Inawezekana anabashiri.
Bwana wa CDM?Hakuna cha 2030,ccm mtatawanywa njia saba msijue mnaenda wapi asema Bwana
Philipo mapanga.huyo Simbachawene ndio wale wale wabovu tu..Gwajima sio mbaya sana ana kitu na vp kuhusu LUHAGA MPINA me naona ana afadhali kuliko wenvi huko Ccm..bora Mpina
Huyo hamna kitu kabisaaPhilipo mapanga.
Vyama vilivyosain ni wajinga, TAL ndyo mwerevu ? ameiingiza CDM kwa shimo la TEWA and it's FINITO for CDMKuna mgombe WA urais ,Hana uwezo wa kuzunguka mikoa mitano mfululuzo wakati wa kampeni
Wakati ,lisu Katoa mfano wa namna ya kufanya kampeni kawekwa korokoroni
LISU ,inawezekana anajua Hilo ndomana hataki aje apigwe stop ,kama ilivyokuwa kwa magufuli.....magufuli alivyoambiwa apumzike siku na lisu akatafutiwa kosa la kubumba. Nae akakaa siku 10
Ukisaini hayo yanahoitwa maadili tegemea hilo
Mzee ndimi mbili yule anachanga karata zake ili upande mazuri yatakapoangukia nae awepo..Paskali mayalla na zile post zake za yeye, aliyeteuliwa na yeye, kama si yeye basi ni yeye.
Umesemaje?1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Huwa analeta mabandiko ya kila upande, kisha siku likotokea katika hayo aliyosema anasema alitabiri😂Mzee ndimi mbili yule anachanga karata zake ili upande mazuri yatakapoangukia nae awepo..
Zitto sio mpinzani materialKuna Hii Hulka/Tabia baadhi ya binadamu tunayo, ya kutokukubali uhalisia na kutokukubali pale mambo ambayo yeye anahisi ni sawa yakienda Tofauti.(yasiwe sawa).
Chadema wamezingua wenyewe.
Hata kama wakiruhusiwa kufanya uchaguzi hawatapata wabunge zaid ya watano.
Kuna mtu alitabiri Miaka 10 nyuma kuwa ACT kitakuja kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Na ndio kinachokuja kutokea.
Wale G55 wataamia ACT na kuna wachache wanaweza wakapita. + Zitto kule kigoma + viti vya Ubunge kule Pemba.
Zitto anakuwa msemaji mkuu kambi ramsi ya upinzani. Maana siasa zake hazina ujinga ujinga wanachafuko.
Safi sana kumbe na wewe ushamshtukia anavyochanga karata zake na kujifanya hana upande.Huwa analeta mabandiko ya kila upande, kisha siku likotokea katika hayo aliyosema anasema alitabiri😂
Unajaribu kubashiri sio?1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Amesema deep source
Hana lolote na kila mara huwa namuambia.Safi sana kumbe na wewe ushamshtukia anavyochanga karata zake na kujifanya hana upande.
mkuu tuume sikio kidogo rais ajaye atatoka chama gani.?LUHAGA PAMOJA NA LEMA NI CAMPAIGN MANAGERS WA MGOMBEA WA CHADEMA AJAYE
Haya yakitokea, mimi mimi Mtoto wa Shule NAACHA KABISA KUWA MEMBER WA JAMII FORUMS. Hata nikitaka kuingia kwa jina jengine nizuiliwe!1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.