Mambo kumi yaliyobebwa ndani ya kikao Kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tundu Antipas Lissu, Brussels Ubeligiji

Tundu hakushirikiana na mwenyekiti kupanga ugaidi? Mbowe kama hakumshirikisha makamu mwenyekiti kupanga ugaidi Basi hi kesi ina walakini maana mwenyekiti asingeweza kupanga kuchukua nchi halafu makamu wake hajui.
#Mbowenigaidi
 
Kuna mdudu anaitwa katiba huyo ndiyo sumu kubwa kabisa ambayo watawala wako tayari kuua mtu bila kujali

ofcouse bado shughuli ipo Lisu akiwa hapa unadhani suala la katiba litaendaje

Mama akija kukaa tu na jopo lake lazima afikirie tena na aje na mambo tofauti kabisa
 
Mbona Lisu anatetea ndoa za jinsia moja na bado ana wafuasi kama wewe??
Iulize serikali imewapiga marufuku wapezn wa jinsia moja Tanzania. Huyu hapa ni wewe unajiona
JamiiForums1999776609_240x320.jpg
 
1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu kumfuta Ubunge na Mwisho Tanzania ilimkosea Tundu Kwa kuacha kuchukua hatua ikiwemo kuchunguza shambulio dhidi yake.

2. Serikali haiwezi kuomba mwananchi wake MSAMAHA ila viongozi waliopewa dhamana wanaoweza wakaingiwa na utu wakaomba Msamaha bila hata kutamka wanaomba Msamaha

3. Tundu Lisu ana roho ya binadamu, anaweza kufanya analysis akabaini pamoja na kuponea kifo Lakini Tanzania Kwanza.

4. Siyo wanasiasa wote walikubaliana na ukatili aliofanyiwa TL ila walikosa nafasi ya kutoka na kukemea. Baadhi wangelazimika kujiuzulu.

5. Chadema ina viongozi na itaendelea kuwa na viongozi

6. Mazungumzo haya yanakwenda kumtoa Mwenyekiti ndani kama siyo ijumaa basi baada ya taratibu za urasimu wa mahakama kutimia.

7. Jaji alikataa Kibatala kuwasilisha oral submission, alishaelekezwa bila kuonekana Kwa mwanga wa Kesi kufungwa Lisu asingeonana na mama

8. Yapo mazingira ya nope nikupe, usipokubali kumwachia Mwenyekiti tutabaki huku ukimbizini. Mama hapendi utawala wake ufananishwe Kwa ndani na mwenda zake. Anawaza kutengeneza Urais wake, yeye ni Rais na afundishwi Urais

9. Wale binadamu wote walioshiriki kumdhuru Lisu adhabu inawaka Kwao, kama siyo Duniani basi Mbinguni. Akiwemo aliyemfuta Ubunge

10. Mama kaupiga mwingi ila Tundulisu kaungana kuongeza sauti.

Mwisho, Tanzania ni kubwa KULIKO CCM na Chadema. Leo Taifa linaamani baada ya wazazi kuelewana. Pamoja na umaskini ila tunapaswa kuungana sisi kwanza kabla ya kuomba misaada nje
Siasa sio uadui kumbuka Uhuru Kinyata baada ya kushinda Uraisi alimuita Raila wakasungumza wakawaweka wakenya pamoja
 
Rais Samia amejiweka katika kundi la wanasiasa wenye akili.
Kiburi ni uthibitisho wa upumbavu, yeye hana.
Kiburi kina toka kwa kina Siro. Ndio wana mbania Mama kukaa na wapinzani. Naiona hatma ya aibu kwa Siro.
 
Tundu hakushirikiana na mwenyekiti kupanga ugaidi? Mbowe kama hakumshirikisha makamu mwenyekiti kupanga ugaidi Basi hi kesi ina walakini maana mwenyekiti asingeweza kupanga kuchukua nchi halafu makamu wake hajui.
#Mbowenigaidi
Una akili sana Beatrice!
 
1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu kumfuta Ubunge na Mwisho Tanzania ilimkosea Tundu Kwa kuacha kuchukua hatua ikiwemo kuchunguza shambulio dhidi yake.

2. Serikali haiwezi kuomba mwananchi wake MSAMAHA ila viongozi waliopewa dhamana wanaoweza wakaingiwa na utu wakaomba Msamaha bila hata kutamka wanaomba Msamaha

3. Tundu Lisu ana roho ya binadamu, anaweza kufanya analysis akabaini pamoja na kuponea kifo Lakini Tanzania Kwanza.

4. Siyo wanasiasa wote walikubaliana na ukatili aliofanyiwa TL ila walikosa nafasi ya kutoka na kukemea. Baadhi wangelazimika kujiuzulu.

5. Chadema ina viongozi na itaendelea kuwa na viongozi

6. Mazungumzo haya yanakwenda kumtoa Mwenyekiti ndani kama siyo ijumaa basi baada ya taratibu za urasimu wa mahakama kutimia.

7. Jaji alikataa Kibatala kuwasilisha oral submission, alishaelekezwa bila kuonekana Kwa mwanga wa Kesi kufungwa Lisu asingeonana na mama

8. Yapo mazingira ya nope nikupe, usipokubali kumwachia Mwenyekiti tutabaki huku ukimbizini. Mama hapendi utawala wake ufananishwe Kwa ndani na mwenda zake. Anawaza kutengeneza Urais wake, yeye ni Rais na afundishwi Urais

9. Wale binadamu wote walioshiriki kumdhuru Lisu adhabu inawaka Kwao, kama siyo Duniani basi Mbinguni. Akiwemo aliyemfuta Ubunge

10. Mama kaupiga mwingi ila Tundulisu kaungana kuongeza sauti.

Mwisho, Tanzania ni kubwa KULIKO CCM na Chadema. Leo Taifa linaamani baada ya wazazi kuelewana. Pamoja na umaskini ila tunapaswa kuungana sisi kwanza kabla ya kuomba misaada nje
Bandiko lenye afya na l8nawkilisha brain kubwa zilizopo JF
 
Watu mnaodhani kwamba lengo la Lissu kukutana na raisi ni kwa ajili ya kesi ya Mbowe mnaniboa sana.
 
The proof of the pudding is in the eating. Mbona alimtembelea hospitali lakini wakati wa campaign alimsimanga? Jana mtu kafungwa maisha kwa kesi ya ajabu ajabu na leo Bavicha wamezuiwa kufanya mkutano! Hao unaowaita wazazi bado hawajaelewana. Ni mapema mno kuanza kushangilia. Na hata Mbowe na wenzie wakiachiwa haitakuwa hatua ya kupongezwa wakati kuna watu wengi tu wasio na majina wanaendelea kuteseka mahabusu.

Amandla....
 
Itakua umemsahau Robert Amsterdam wewe ama la wewe sio memba wa Chadema.

Wenzako wote wanafahamu kwamba ndoa za jinsia moja ndio agenda kuu ya uchaguzi kwa chadema in 2020.
Ongea vitu vya maana basi na wewe kila saa takataka ya ushoga ushoga, si uende ukaolewe basi kama unapenda kuolewa, hatutaki hata kusikia hilo neno wengine na kama huna hoja kaa kimya.
 
Back
Top Bottom