Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe ndio SabayaSabaya aachiwe.
Jana nilipiga magoti nikamwaomba Mungu atusamehe sisi watanzania na viongozi wake. Tuwe wamoja turudi kama zamani na Taifa letu litabarikiwa.1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu kumfuta Ubunge na Mwisho Tanzania ilimkosea Tundu Kwa kuacha kuchukua hatua ikiwemo kuchunguza shambulio dhidi yake.
2. Serikali haiwezi kuomba mwananchi wake MSAMAHA ila viongozi waliopewa dhamana wanaoweza wakaingiwa na utu wakaomba Msamaha bila hata kutamka wanaomba Msamaha
3. Tundu Lisu ana roho ya binadamu, anaweza kufanya analysis akabaini pamoja na kuponea kifo Lakini Tanzania Kwanza.
4. Siyo wanasiasa wote walikubaliana na ukatili aliofanyiwa TL ila walikosa nafasi ya kutoka na kukemea. Baadhi wangelazimika kujiuzulu.
5. Chadema ina viongozi na itaendelea kuwa na viongozi
6. Mazungumzo haya yanakwenda kumtoa Mwenyekiti ndani kama siyo ijumaa basi baada ya taratibu za urasimu wa mahakama kutimia.
7. Jaji alikataa Kibatala kuwasilisha oral submission, alishaelekezwa bila kuonekana Kwa mwanga wa Kesi kufungwa Lisu asingeonana na mama
8. Yapo mazingira ya nope nikupe, usipokubali kumwachia Mwenyekiti tutabaki huku ukimbizini. Mama hapendi utawala wake ufananishwe Kwa ndani na mwenda zake. Anawaza kutengeneza Urais wake, yeye ni Rais na afundishwi Urais
9. Wale binadamu wote walioshiriki kumdhuru Lisu adhabu inawaka Kwao, kama siyo Duniani basi Mbinguni. Akiwemo aliyemfuta Ubunge
10. Mama kaupiga mwingi ila Tundulisu kaungana kuongeza sauti.
Mwisho, Tanzania ni kubwa KULIKO CCM na Chadema. Leo Taifa linaamani baada ya wazazi kuelewana. Pamoja na umaskini ila tunapaswa kuungana sisi kwanza kabla ya kuomba misaada nje
Tanzania ni yetu sote tupendane na kuvumiliana chadema na ccm zinaweza kupita Ila Tanzania yetu itabaki tuwe Wazalendo.Itakua umemsahau Robert Amsterdam wewe ama la wewe sio memba wa Chadema.
Wenzako wote wanafahamu kwamba ndoa za jinsia moja ndio agenda kuu ya uchaguzi kwa chadema in 2020.
Tanzania ni yetu sote tupendane na kuvumiliana chadema na ccm zinaweza kupita Ila Tanzania yetu itabaki tuwe Wazalendo.Itakua umemsahau Robert Amsterdam wewe ama la wewe sio memba wa Chadema.
Wenzako wote wanafahamu kwamba ndoa za jinsia moja ndio agenda kuu ya uchaguzi kwa chadema in 2020.
Sabaya yupo kifungoni kwa wizi wa silaha. Pia ana kesi zinazoendelea zikiwepo kuongoza genge la wizi, ubakaji, na uhujumu uchumi. Aachiwe akaendelee kuiba?Sabaya aachiwe.
Sabaya alipitiliza unyama wake. Vigumu kumtetea.sabaya ameenda kumuibia mtu kwa bunduki mbona unakuwa mgumu kuelewa! kesi yake huwa ni miaka 30 kwenda mbele!
angefanyia ndani ya HAI ingekuwa rahisi kuficha ila kaenda kuiba Arusha na CAMERA zimemuonyesha
yeye mwenyewe alikuwa analia msibani kama kapoteza baba alijua hili linakuja! hata angekimbilia ubalozi wangemuacha nje wenyewe wampitie tu kwa ukatili wake yeye kama yeye!
Yaani ufisadi wa kutisha mpaka wakahamia kwenye ufisadi wa damuTanzania ni yetu sote tupendane na kuvumiliana chadema na ccm zinaweza kupita Ila Tanzania yetu itabaki tuwe Wazalendo.
Sabaya analipa alicho panda
Hasafishiki yule jamaa hata kwa dodokiSabaya alipitiliza unyama wake. Vigumu kumtetea.
Hii ndio siasa ya maendeleo. Huko Ulaya walianza zamani wako mbaliRais Samia hongera kwa hatua hii,usiwaogope wapinzani kaa nap mshauriane kwa maslahi ya taifa
Ni ishara njema. Na hii ndio siasa.Ukweli rais kukubali wito wa kuonana na lissu ni jambo la kupongeza. Nimetabasamu nilipo ona picha iyo.
Ni wakati wa lissu na wengine warudi tz tuendeleze siasa zetu
Nyumbu bana! Manyumba yanaelewa et kuwa faragha ni kufanya mapenzi ya jinsia moja. Huu ni msibaEu inatambua ndoa za jinsia moja kama Chadema wanavyopigania haki ya kuwa na faragha.
Mwenyekiti ni mtuhumiwa wa ugaidi.Sabaya yupo kifungoni kwa wizi wa silaha. Pia ana kesi zinazoendelea zikiwepo kuongoza genge la wizi, ubakaji, na uhujumu uchumi. Aachiwe akaendelee kuiba?
Hapa sasa, ndio utajua viongozi wetu ni wanafiki, wazandiki, wabinafsi na wachumia tumbo.. Kwanini wasikemee, why washindwe kujiuzulu wakati wanatetea haki, je kwa namna hiyo ni haki ngapi zimedhurumiwa wao wamekaa kimya sababu ya masilahi binafsi?4. Siyo wanasiasa wote walikubaliana na ukatili aliofanyiwa TL ila walikosa nafasi ya kutoka na kukemea. Baadhi wangelazimika kujiuzulu.