Mambo kumi yaliyobebwa ndani ya kikao Kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tundu Antipas Lissu, Brussels Ubeligiji

Hii ndiyo Tanzania ya ndoto yangu
Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Africa
 
Jana nilipiga magoti nikamwaomba Mungu atusamehe sisi watanzania na viongozi wake. Tuwe wamoja turudi kama zamani na Taifa letu litabarikiwa.

Mungu ni mwema sana. Ni mefurahi sana Tukio la Leo.

Tundu Hajawahi kuniangusha
TUENDELEE KUCHAPA KAZI

wale washakunaku leo watalala na viatu🤣🤣🤣🤣
 
Itakua umemsahau Robert Amsterdam wewe ama la wewe sio memba wa Chadema.

Wenzako wote wanafahamu kwamba ndoa za jinsia moja ndio agenda kuu ya uchaguzi kwa chadema in 2020.
Tanzania ni yetu sote tupendane na kuvumiliana chadema na ccm zinaweza kupita Ila Tanzania yetu itabaki tuwe Wazalendo.
Sabaya analipa alicho panda
 
Samia huyu huyu aliemuweka Mbowe ndani hafai sifa yoyote upopoma mtupu, Rais muoga na anaendeshwa, hii kesi ya kipumbavu na kishamba, she has zero zero credit on this. Sifuri kabisa
 
Itakua umemsahau Robert Amsterdam wewe ama la wewe sio memba wa Chadema.

Wenzako wote wanafahamu kwamba ndoa za jinsia moja ndio agenda kuu ya uchaguzi kwa chadema in 2020.
Tanzania ni yetu sote tupendane na kuvumiliana chadema na ccm zinaweza kupita Ila Tanzania yetu itabaki tuwe Wazalendo.
Sabaya analipa alicho panda
 
Rais Samia hongera kwa hatua hii,usiwaogope wapinzani kaa nap mshauriane kwa maslahi ya taifa
 
Sabaya alipitiliza unyama wake. Vigumu kumtetea.
 
Tanzania ni yetu sote tupendane na kuvumiliana chadema na ccm zinaweza kupita Ila Tanzania yetu itabaki tuwe Wazalendo.
Sabaya analipa alicho panda
Yaani ufisadi wa kutisha mpaka wakahamia kwenye ufisadi wa damu
 
Ukweli rais kukubali wito wa kuonana na lissu ni jambo la kupongeza. Nimetabasamu nilipo ona picha iyo.

Ni wakati wa lissu na wengine warudi tz tuendeleze siasa zetu
Ni ishara njema. Na hii ndio siasa.

Tutarajie mwanga mzuri zaidi.

Sifa na utukufu na enzi kwa Mwenyezi Mungu
 
Eu inatambua ndoa za jinsia moja kama Chadema wanavyopigania haki ya kuwa na faragha.
Nyumbu bana! Manyumba yanaelewa et kuwa faragha ni kufanya mapenzi ya jinsia moja. Huu ni msiba
 
Sabaya yupo kifungoni kwa wizi wa silaha. Pia ana kesi zinazoendelea zikiwepo kuongoza genge la wizi, ubakaji, na uhujumu uchumi. Aachiwe akaendelee kuiba?
Mwenyekiti ni mtuhumiwa wa ugaidi.

Magaidi wadogo wadogo mnapambana kamanda wenu atoke mje kulipua vituo vya mafuta.
 
4. Siyo wanasiasa wote walikubaliana na ukatili aliofanyiwa TL ila walikosa nafasi ya kutoka na kukemea. Baadhi wangelazimika kujiuzulu.
Hapa sasa, ndio utajua viongozi wetu ni wanafiki, wazandiki, wabinafsi na wachumia tumbo.. Kwanini wasikemee, why washindwe kujiuzulu wakati wanatetea haki, je kwa namna hiyo ni haki ngapi zimedhurumiwa wao wamekaa kimya sababu ya masilahi binafsi?
Kama walishindwa kumtetea mtu kwa maslahi yao, wataweza kuitetea nchi ma kuacha maslahi yao!? Hapo ndipo kwenye 10%, ye akishakula chake anaingia mkataba mbovu, litakalotokea mbele ya safari shauri yenu.

Watanzania tuna safari ndefu, tujitathmini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…