Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

Je swala la kupekuana simu Na mazoea Na opposite gender....hili Babu unasemaje hujaliongelea....Kuna wale wanandoa unakuta wanataniana na watu wanaitana mke mume au majina YA mahaba
 
Hiyo namba sita si bora waniue,, yaani niangalizie mechi nyumbani kabisa na ubishi huu wote nilionao ntamfanyia nani sasa,,
 
Masikio yao yapo kama mapambo tu shoga yangu. Siku hizi namsemea kwa Mungu aseme na kiumbe chake
 
Je swala la kupekuana simu Na mazoea Na opposite gender....hili Babu unasemaje hujaliongelea....Kuna wale wanandoa unakuta wanataniana na watu wanaitana mke mume au majina YA mahaba
Hilo la simu, sishauri watu kupekuana.

Mnachotakiwa ni kuheshimiana pamoja na kulindana

Simu zinaleta magomvi mengi sana ya Ndoa na mahusiano mengi kuvunjika.

Hilo la kutaniana na opposite sex, sishauri lifanyike.

Mnaweza jikuta utani umezidi hadi mkajikuta mnasalitiana na wapenzi wenu wa Ndoa.
 
Masikio yao yapo kama mapambo tu shoga yangu. Siku hizi namsemea kwa Mungu aseme na kiumbe chake
Hutakiwi kuchoka kumwelekeza, Kuna wakati ataona umuhimu wa hicho unachomwambia hivyo atajirudi tu
 
Hiyo namba sita si bora waniue,, yaani niangalizie mechi nyumbani kabisa na ubishi huu wote nilionao ntamfanyia nani sasa,,
Hutakiwi Kila mechi uende nje kuangalia, sometimes mechi moja moja unaangalizia nyumbani.

Hapa nilipo nasubiria mechi ya Arsenal ya UEFA champions league, nitaangalizia home.

Nawapa kampani kidogo familia, wajue Baba mwenye nyumba Leo yupo nyumbani 👊
 
Badi sijaingia chamani babu nitakapoingia nitakua naweka mambo wazi
Hahaha......... nimependa ahadi yako, nitafurahi ukiitimiza utakapoingia Chamani, japo wengi huongozwa na Usiri.

Unakuta hata Mume hajui 🙌
 
Kwa hoja hizi, ni wazi kabisa ndoa ni kifungo kwa mwanaume na ni mpimbavu tuu ndio atakayekubali kufungwa
 
Kwa hoja hizi, ni wazi kabisa ndoa ni kifungo kwa mwanaume na ni mpimbavu tuu ndio atakayekubali kufungwa
Unataka kusema na Wazee wetu ambao wapo pamoja na Mama zetu kwenye Ndoa, nao wapo kifungoni

Maturity ya Mwanaume inapimwa na uwezo wa ku-handle ishu za familia ikiwemo Ndoa yake
 
Mwambie ajaribu
Ndiyo tupo kuorodhesha mahitaji ya Posa, tumeshaandika Koti la Babu pamoja na Blanket la Bibi...

Jumapili mapema, jiandae kutupokea Wageni 🤗
 
Kujiingizia kwenye mambo ya kisiasa kama Samia haiwezi kuleta shida ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…