Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

Elimu Elimu Elimu
 
Elimu, Elimu Elimu hii hii tunayoinona kwa Maprof wetu?
 
Hata hivyo kwa taarifa yako pamoja na kusabotage demokrasia unayoidai kama angekubali mali ziporwe na hao mabwanyenye kisingempata hicho usemacho,rejea saudi Arabia,
Uko sahihi.

Kilichomuua ni ubabe wa kiuchumi. Hayo mengine yanahusu kutia doa legacy yake mwenyewe.

Wazungu ukiwapa wanachokitaka they don't give a damn kuhusu demokrasia na haki za binadamu. Ila ukiwabana kama alivyofanya marehemu wanazitumia kama njia ya kukufutilia mbali...
 
Sasa Elimu ,Elimu ,Elimu wakati unesema waliosoma haina impact kwao bwashee
 
Una mavi kichwani
 
Sema kinachonishangaza kuhusu wazungu ni umoja wao linapokuja suala la maslahi yao. Wataparurana wee lakini linapokuja kuhusau Urusi au China haijalishi ni democrat au republican, haijalishi ni cnn au fox news, reuters au new york times, wote lao ni moja.

Ila njoo kwa waafrika sasa. Takataka kabisa.
 
Kweli kabisa kipo kizazi kitakuja na fikra tofauti kabisa na fikra za Kazi na Bata zilizopo kwa sasa !! Maendeleo ya kweli hayawezi kupatikana kwa kuendekeza Kazi na Bata !!
 
Wazungu wako hivyo. Gusa maslahi yao uone moto utakaokuwakia. Itapelekwa hoja ya dharula bungeni na hutaona cha Republican au Democrat. Wote wamoja inapokuja kwenye maslahi ya taifa. Wakitoka hapo kama kawa wanaendelea kuparurana huko.

Sisi shida ni ubinafsi. Kila mtu anapigania tumbo lake, familia yake (kwa mtazamo wa Kiafrika) na marafiki zake wachache. Hakuna kuangalia mambo ya legacy. Miaka 100 ijayo historia ya taifa langu itanikumbukaje. Watu hawa masikini ninaowaongoza nitawasaidiaje angalau waweze kupata huduma zao za msingi. Nooo! Ni kuiba tu na kutajirika kupindukia. Bado sana yaani!
 
Namba 3 ndio sifa kuu ya Mtz
 
 
Nilimshangaa sana Lissu na tantalila zake za miga. Sema pia nishawahi kusoma makala kuhusu namna CIA na western intelligence organisation zinavyofanya kazi na kuwarubuni influential people wa nchi mbali mbali duniani: silaha yao ya kwanza ni pesa, ukigoma kwa pesa, wanakuvizia kwenye weakness yako nyingine ili uwe upande wao. Kwa Lissu asingetoboa kwa pesa ya muzungu. Na kwa mpunga mrefu wa wazungu I doubt kama kuna wanasiasa wetu njaa hawa anaeweza kidindia maslahi ya taifa.
 
dikteta hana lakukumbukwa
 
naomba na mm kuchangia kdgo kuhsu hii ,ada ia ukweli kuna mda usemwe tu JPM likuwa na mapungufu yakeila nchi kam nchi Iliheshimika na pia mipango yke maka leo hakuna ambae hata kwa nusu yake ameweza kuivaa tofauti na kuwaaumiza wanyonge kwa ss kila mtu ana matamko yako akiamkaanapanga hili akilala anapanga hili viva JPM
VIVA TANZANIA
 
ni kama kuna Ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…