Mambo makubwa manne niliyojifunza baada kifo cha Hayati Magufuli

Kiwango chako cha ujinga imekuwa hivi?Alafu unaweza kuwa Raia wa Tanzania hata kama hujazaliwa Tanzania.
 
Sasa umesema hakuna tofaut kati ya waliosoma na wasiosoma, hafu mwisho unasisitiza umuhimu wa "elimu elimu elimu"
Mbona hueleweki
 
Kama ulivyomalizia elimu kwamba ni ya muhimu sana, huo ni ukweli usiopingika, shida ni kwamba bado elimu anayopata mtanzania haimsaidii kubadili fikra zake, ndiyo maana utakuta mtu anasema " mwaka huu nataka nikaongeze elimu " lakini ukimuuliza hiyo elimu unayotaka kuongeza unataka utatue changamoto gani?

Utasikia akisema naona mshahara mdogo pia ofisini natumwa tumwa, hivyo nataka mimi ndo niwe nawatuma tuma wengine.

Kama taifa ipo haja ya kutoa elimu ambayo watu watajitoa haswaa kubadili hali za kimaskini za watu wengi, ambao wataona ipo haja ya kutumia rasilimali vizuri kwa manufaa ya watu wengi, watu ambao wakienda shule wataumiza bongo zao kwelikweli siyo kwa ajiri maisha yao binafsi bali kwa maslahi mapana ya taifa.

Elimu! Elimu! Elimu! Shida ipo hapa.
 
Kwa hiyo kwa akili zako ulifikiri Magufuli ana akili? Yule pimbi alisoma chemistry halafu akataka kuwa mtaalamu kuliko madaktari waliosoma MUHAS. Akaleta mzaha kwenye COVID-19 nayo COVID haikumkopesha sawa na Mrundi mwenziye Nkurunzinza
 
Kwahiyo ulitaka tumkumbatie serial killer.
Right now, We just need a benevolent dictator.
 
Nakupenda JPM 😍
nani walimminia tundu lisu risasi mchana kweupe vile? kosa la lisu lilikuwa nn? nani huyu musiba aliyekuwa akieneza uzushi na kutukana watu ( yapo wapi magazeti yake?) nani alimuua alphonce mawazo? aliwafanya nn? yupo wapi ben sanane? Anzory mwana wa gwanda yupo wapi? kosa la kuhoji elimu ya mtu ni kupotezwa?
Tanzania itakuwepo JPM alikuwa shetani anayevaa suti na muumini wa mungu.
MUNGU YUPI? SIJUI
 
elimu bora ni ipi?
 
Ah ah... Africa ambayo baadhi ya nchi zimejaa mang'ombe km Tanzania according to CCM tusubili miaka million 5 ivi kuinuka
 
Nampenda sana JPM 😍
 
Rubbish
 
JPM alikuwa na mikakati gani ya maana ya uchumi? Kupora wakulima korosho? Kufunga mipaka na nchi jirani? Kupora watu wa bureau fedha? vitambulisho vya machinga?
 
Waafrika wapumbavu kama JPM walikua radhi kuua na kufilisi watu kisa tofauti ya mawazo
 
Vip kuhusu tantalila za trilioni 360 za Magufuli?
 
Naunga Mkono Hoja
 
Naunga Mkono Hoja
Ukiacha Mwendakuzimu Jiwe, ushawahi kusikia Mbongo yeyote anaitwa Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…