Yamkini, Inauma sana kuambiwa mtoto sio wako mkuuHizi mada ni projection ya watu wanavyotamani mambo yawe Ila uhalisia mtaani ni tofauti.
Kuna watu wameishi miaka mingi mzungu wa nne ili mradi watoto wapate malezi
Wazee wengi wenye hekima waliishi bila mayowe pale wanapofikwa na vitu kwa sababu mambo yaliishia chumbani kissi wengi mnadhani ndoa za zamani zilikuwa perfect. HAPANA
Kitanda hakizai haramu haukuwa ni msemo wa kutungwa, ukifungua vifua vya wazee wa zamani mtaona kama wangekuwa na ego za kipuuzi puuzi, watoto wengi wangeishia mitaani na wangechomana kwa magunia ya mkaa kuliko hata sasa.. Ila huwezi kujua haya maana walikuwa na vifua
Ukijibiwa inavyotakiwa utaona umedharauliwa. Sawa
Hizi mada ni projection ya watu wanavyotamani mambo yawe Ila uhalisia mtaani ni tofauti.
Kuna watu wameishi miaka mingi mzungu wa nne ili mradi watoto wapate malezi
Wazee wengi wenye hekima waliishi bila mayowe pale wanapofikwa na vitu kwa sababu mambo yaliishia chumbani kissi wengi mnadhani ndoa za zamani zilikuwa perfect. HAPANA
Kitanda hakizai haramu haukuwa ni msemo wa kutungwa, ukifungua vifua vya wazee wa zamani mtaona kama wangekuwa na ego za kipuuzi puuzi, watoto wengi wangeishia mitaani na wangechomana kwa magunia ya mkaa kuliko hata sasa.. Ila huwezi kujua haya maana walikuwa na vifua
Nadhani ingependeza kama ungemwelekeza ni wapi amepwaya mkuu, usibaki na kitu kwenye moyo wako πSidhani kama nastahiri heshima kwa kijana asie na uelewa wa mambo kama wewe.
Take it or leave it.
Sidhani kama nastahiri heshima kwa kijana asie na uelewa wa mambo kama wewe.
Take it or leave it.
10. Umetafuta pesa kwa jasho umepata elfu 10 alafu demu anakuomba elfu 20, we ulivyokua bwege unatuma elfu 10 yote uliyonayo huku unaomba msamaha eti sahamani hali haikua nzuri chukua tu hiyo 10 kwanza acha ubwege dhaifu wewe
Namshukuru Mungu siko miongoni mwa hizo sifa ulizotaja. Yaani hata 1 simo. Ibada ijayo nitatoa sadaka ya kumshukuru Mungu kwa kunifanya kisu.e haswaaa.
Amini usiamini Ila kuna wazee wengi tu walilea watoto si wa kwao na walijua. Kikubwa mtu kalima shamba lake kwa hiyo mavuno ni yakeYamkini, Inauma sana kuambiwa mtoto sio wako mkuu
Umesahau haka ka video.
View attachment 3282183
Amini usiamini Ila kuna wazee wengi tu walilea watoto si wa kwao na walijua. Kikubwa mtu kalima shamba lake kwa hiyo mavuno ni yake
Wengine wakiachana mke anaenda olewa pengi na baada ya muda anarudi pengine hata na mtoto. Na wengine wakioa single mother wanachukua na mtoto kabisa na hizi issues zipo kimila kabisa.
Na sio kwamba napinga mada kwa sababu najua usaliti si sawa au kubambikiziwa kesi. Ila nature ya wazee wetu kubaki kimya imewafanya wanaume wengi tuamini mama zetu walikuwa perfect tofauti na wanawake wa kipindi hiki
Ila kiuhalisia, wote hawakuwa perfect na wengine walifanya mazito kuliko tunaoyaona leo mkuuππ½ππ½
Kijana asiye na uelewa lakini upo kwenye uzi wake na ukashindwa kujidhibiti ukampata kiherehere cha kutoa maoni yako. Kweli unajielewa Mkuu. Big up
Nadhani ingependeza kama ungemwelekeza ni wapi amepwaya mkuu, usibaki na kitu kwenye moyo wako π
Unajifanya kungwiNdoa za zamani zingekuwa perfect sasa hivi kusingekuwa na usumbufu
Usumbufu wa sasa hivi kwa Asilimia kubwa unatokana na mapungufu ya wazee wetu kufanya unafiki kwenye mambo ya msingi.
Ni mwanaume dhaifu ambaye atavumilia maujinga ya mkewe na utovu wa Nidhamu kwa kisingizio cha Watoto.
Mapenzi yakishaisha na uhalifu ukishaingia kwenye familia hiyo ndoa inatakiwa ivunjwe kwa mustakabali mwema wa watoto.
Huwezi kulea watoto wakawa na maadili ya maana kwa mwanaume au Baba kuwa DHAIFU. Never ever.
Ni wanaume dhaifu wanaoua wenza wao au kujeruhi wenza wao.
Mwanamke akikushinda, hafuati Sheria zako jawabu ni kumpa Talaka.
Nakumbuka kuna father mmoja alikimbiwa na mke wake for 4 years 97-2001 kule kaenda kadhaa watoto wawili, baadae kurudi kwa mme wake wa kadhaa watoto watatu. Hadi leo wako pamojaAmini usiamini Ila kuna wazee wengi tu walilea watoto si wa kwao na walijua. Kikubwa mtu kalima shamba lake kwa hiyo mavuno ni yake
Wengine wakiachana mke anaenda olewa pengi na baada ya muda anarudi pengine hata na mtoto. Na wengine wakioa single mother wanachukua na mtoto kabisa na hizi issues zipo kimila kabisa.
Na sio kwamba napinga mada kwa sababu najua usaliti si sawa au kubambikiziwa kesi. Ila nature ya wazee wetu kubaki kimya imewafanya wanaume wengi tuamini mama zetu walikuwa perfect tofauti na wanawake wa kipindi hiki
Ila kiuhalisia, wote hawakuwa perfect na wengine walifanya mazito kuliko tunaoyaona leo mkuuππ½ππ½
πππππ10. Umetafuta pesa kwa jasho umepata elfu 10 alafu demu anakuomba elfu 20, we ulivyokua bwege unatuma elfu 10 yote uliyonayo huku unaomba msamaha eti sahamani hali haikua nzuri chukua tu hiyo 10 kwanza acha ubwege dhaifu wewe
Unajifanya kungwi
Nakumbuka kuna father mmoja alikimbiwa na mke wake for 4 years 97-2001 kule kaenda kadhaa watoto wawili, baadae kurudi kwa mme wake wa kadhaa watoto watatu. Hadi leo wako pamoja
MtibeliNdoa za zamani zingekuwa perfect sasa hivi kusingekuwa na usumbufu
Usumbufu wa sasa hivi kwa Asilimia kubwa unatokana na mapungufu ya wazee wetu kufanya unafiki kwenye mambo ya msingi.
Ni mwanaume dhaifu ambaye atavumilia maujinga ya mkewe na utovu wa Nidhamu kwa kisingizio cha Watoto.
Mapenzi yakishaisha na uhalifu ukishaingia kwenye familia hiyo ndoa inatakiwa ivunjwe kwa mustakabali mwema wa watoto.
Huwezi kulea watoto wakawa na maadili ya maana kwa mwanaume au Baba kuwa DHAIFU. Never ever.
Ni wanaume dhaifu wanaoua wenza wao au kujeruhi wenza wao.
Mwanamke akikushinda, hafuati Sheria zako jawabu ni kumpa Talaka.
Leo mzee mwenzangu nilikuwa kwenye mgahawa mmoja nakula pembeni nikawa nasikia mtu na mumeweMtibeli
Mwanamke yupo loyal 100% kwa kiumbe mmoja tu ambaye ni mtoto wake.
Kwa hiyo mwanamke anaweza kuwa mke malaya kwako Ila akawa ni mama bora kwa watoto wako. The same way, mwanaume anaweza asiwe mume bora yani mlevi, mzinzi na hajali hisia za mwanamke Ila kwenye kuangalia watoto wake akawa perfect.
Na kumbuka Hapa sizungumzii ule ushwetani wa wazi wa kuwaongoza watoto vibaya. Ila nazungumzia madhaifu ya kila siku ambayo wazee wetu waliyaficha chumbani ili kuwapa watoto malezi ya baba na mama wanayostahili.
Kama hujawahi kuishi na mama wa kambo, single parent au ukatelekezwa kwa ndugu baada ya familia kuvunjika. Pengine unaweza usielewe uzito wa hili kwa kuchukulia malezi ni chakula na mavazi Ila kama ulionja joto la jise. Utawaelewa hao wazee na wamama kwa sacrifise walizozitoa kwa ajili ya watoto wao
Afadhali mkuu umeongelea maisha halisi na story zipo nyingi sana mitaani. Kuna wazee wengi tu wamelea watoto sio wao tena kwa upendo ndio maana husikii story mbaya za baba wa kambo.Unajifanya kungwi
Nakumbuka kuna father mmoja alikimbiwa na mke wake for 4 years 97-2001 kule kaenda kadhaa watoto wawili, baadae kurudi kwa mme wake wa kadhaa watoto watatu. Hadi leo wako pamoja