Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Anajifunza juu juu. Hawezi kuanza kusoma chamistry ya dawa. Na ili ujue jinsi dawa inavyofanya kazi, na madhara yake ni lazima ujue chemistry yake.Samahani mkuu hivi hapo namba 1 Daktari hajajifunza hivyo?
Naskia ukisoma clinical medicine ukitaka degree unachagua wewe tu uende wapiiii.
Ila ukisoma kozi zingine zisizokuwa CLINICAL MEDICINE degree unaenda kozi hiyo hiyo,sijui hili limekaaje ?
Aisee hivi watu huwa mnapata wapi ujasiri wa kuandika vitu vya uongo na ambavyo hamvielewi si bora uulize kwanza.......inasikitisha sana.Naskia ukisoma clinical medicine ukitaka degree unachagua wewe tu uende wapiiii.
Ila ukisoma kozi zingine zisizokuwa CLINICAL MEDICINE degree unaenda kozi hiyo hiyo,sijui hili limekaaje ?
Mkuu kuwa muelewa basi nimeshasema hapo kwenye comment yangu kuwa "sijui hili lomekaaje" kwa maana sijajua uhakika wake na mimi nasikia tu..Aisee hivi watu huwa mnapata wapi ujasiri wa kuandika vitu vya uongo na ambavyo hamvielewi si bora uulize kwanza.......inasikitisha sana.
Hakuna CO anayeruhusiwa kusoma BScLAB,pharmacy wala bsc nursing.
Yaani mkuu hujaona kabisa pale nilipoandika hiviii 👇👇👇👇si bora uulize
Na alama ya kuuliza nimeweka alafu unasema niulize,sijui niulize kwa alama ya ng'ombe sasa...,sijui hili limekaaje ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mkuu hujaona kabisa pale nilipoandika hiviii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Na alama ya kuuliza nimeweka alafu unasema niulize,sijui niulize kwa alama ya ng'ombe sasa...
Nahisi kwa kuwa clinical medicine wanasoma mambo mengi maana nasikia watu wa C.O wanasoma vitu vya pharmacy, laboratory pamoja na nurse
Aende kwenye kipaumbele chake! Yaani anaomba kupangiwa maisha yake mwenyewe? Tuwe na vipaumbele!Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason.
Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
Yaah mkuuu umesomeka wanasoma partial tuSio kwamba CO wanasoma hayo mambo ya pharmacy,lab na nurse in deeep.....”NO” wanasoma basics tuuu tena shallow saaanaaaaa
Yaah mkuuu umesomeka wanasoma partial tu
Perfect, very high reasoning. asante sana. All is done and I close the deal. (Nadhani limanisha kuwa Pharmacy hawezi kufanya MD)
TCU guide sijui inasemaje, nimesoma hawajaweka wazi kama pharmacy diploma anaweza kusoma MD ila wamesema related health courses kwenda kusoma degree za health.
Naskia ukisoma clinical medicine ukitaka degree unachagua wewe tu uende wapiiii.
Ila ukisoma kozi zingine zisizokuwa CLINICAL MEDICINE degree unaenda kozi hiyo hiyo,sijui hili limekaaje ?
lengo ni kwenda MD, kama huwezi pata GPA ya kuweza kwenda MD over 4.5, preferably 4.7), nimemwambia bora aache atafute mambo mengine
Kipi hukijui? Hivi unapopanga kwenda hospitali unaenda kumuona Pharmacist au Mganga? Je, kuna kituo cha Afya ambacho mkuu wake ni Pharmacist? Je wajua kuwa Pharmacist kazi yake ni kugawa au kuuza dawa iliyoandikwa na Mganga? Mpaka hapo hujaona kuwa Pharmacist ni mtumishi wa Mganga? Mpeleke akasome Clinical Medicine iwapo ana angalau D ya Physics
Naomba ushauri wako kuhusu med lab mdogo wangukaelekea humo! Help pls kiushauri zaidiMwambie aende Clinical Medicine, coz clinical medicine kwa uelewa wangu anaweza fanya pharmacy pia ila pharmacy hawezi kazi za clinical medicine
Hakuna kitu kama hicho now ukisoma C.Medicine huwezi kusoma Dental,Radiology wala pharmacy kwa level ya digrii wewe ni MD na Nesi nadhani kiufupi now ni kugumu sio kama nyuma.