Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

Mimi nashauri kama familia haina uwezo wa kumsomesha MD private’s + kijana hana uwezo wa kupata gpa atleast kuanzia 4
BORA kijana akaenda kupiga diploma ya pharmacy.
Clinical medicine sikuhizi duuuh changamoto sana sana sanaa kiukweli,tuwashauri vyema wadogo zetu sababu upepo tunauona ulivo kwa sasa....
 
Sure mkuu mimi nimeachana na ishu za MD japo tangu kitambo sikua nataka kusoma MD ...now nimehamishia nguvu eneo jingine ila sijatoka nje ya kada.
Mimi nashauri kama familia haina uwezo wa kumsomesha MD private’s + kijana hana uwezo wa kupata gpa atleast kuanzia 4
BORA kijana akaenda kupiga diploma ya pharmacy.
Clinical medicine sikuhizi duuuh changamoto sana sana sanaa kiukweli,tuwashauri vyema wadogo zetu sababu upepo tunauona ulivo kwa sasa....
 
Clinical Officer skuhizi competition yake sio ya kitoto kwenda MD labda uwe na uwezo wa kifedha kumsomesha mtoto kairuki etc apo sawa hutokua na stress....
Otherwise unakufa na level yako ya co labda degree usome kitu kingine
 
Siku hizi hata huko nako wembe ule ule wanaomaliza na vijiti form 6 wengi kinyama na wengi wanatoka St. Kwao fedha ipo.
 
Kuna mtu namfahamu amemaliza last year alikua na 4.0 lakini amepata chuo kampala pekeyake....vyuo vyote amekosa admission...sasa kampala ada ni 6mil na kidogo per year unaona kazi hio kwa familia zetu za mkulima...

LAKINI
Akibahatika kupata kazi serikali kwa CO yake huenda akamudu kujisomesha sasa kupata hio kazi serikalini nayo nikipengele chengine hiko...
 
Pima upepo mkuu kama hela ipo na kijana anataka awe daktari ruksa kusoma CO....ila mpeleke private’s...*shukran *
 
Siku hizi hata huko nako wembe ule ule wanaomaliza na vijiti form 6 wengi kinyama na wengi wanatoka St. Kwao fedha ipo.

Hata ukiangalia guidebook kwanza wanachukua wengi wale wa form six....diploma wanachukuliwa wachache sana.
 
Clinical Officer skuhizi competition yake sio ya kitoto kwenda MD labda uwe na uwezo wa kifedha kumsomesha mtoto kairuki etc apo sawa hutokua na stress....
Otherwise unakufa na level yako ya co labda degree usome kitu kingine
Mdau kasema hapo kwamba degree unaenda MD tu na sio kozi nyingine.
 
No.....vigezo vya medical lab na hyo CMT ni sawa.

Tena bora abaki huko huko lab kuliko hyo CMT........CMT imekuwa ya ovyo sana siku hizi kila mtu amesoma.

Lakini pia issue ya kujiendeleza unaweza kubaki na CO yako mpaka unakufa.........ASANTE.
Kitu hujui acha, nani kakataza mtu wa GPA 3.5 asisome MD?
 
Hapana sio MD tuu,...bali na kozi zifuatazo:
1.health system manangement.
2.health information system
3.nutrition and dietetics
4.clinical nutrition
Tofauti na hapo nadhani hakuna.
Nini tofauti ya A na B ??
 
Kwa mimi niliyepiga pharmacy, bora pharmacy. Nchi ambayo MD yupo kitaa bila kazi kwa CO kutoka ni kazi sana.
Pharmacy sasa hivi ndio ajira zake chache sana.

Hata ajira za karibunibza TAMISEMI na Wizara ya Afya, Pharmacy wamechukuliwa wachache sana.

CO na MD bado ni kozi nzuri ingawa inahitaji uwejezaji mkubwa sana kifedha, kiakili na muda.

Kwanza kwa CO usipojiangalia utaishia hiyo hiyo CO.
 
Ndio maana famasi imekuwa haithaminiki kwa sababu imeonekana kama kazi yao kugawa dawa ambazo daktari ndio ameandika.

Hivyo uhitaji unakuwa sio mkubwa,lakini mfamasia kwenye nchi za wenzetu ni mtu ambaye anaheshimika sana
Hahahahah pharmacist na cashier kazi yao inashabihiana
 
Back
Top Bottom