Dennis_Ritchie
Member
- Oct 5, 2021
- 14
- 9
PharmacyNjia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason.
Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PharmacyNjia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason.
Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
Pharmacy sasa hivi ajira za kusuasua sana. Halafu wakishaajiriwa wawili tu hispitali ndio basi tena.Yaah alafu hivi mbona kama serikali imewatupa watu wa pharmacy maana nasikia ajira amna huko sijui shida nini mkuu
Siku hivi mpaka manesi wanagawa dawa. Tena siyo kimagumashi, ni mwongozo kabisa upo.
Mkuu hivi why now pharmacy hakuna ajira huko serikalini shida nini au wanataka wote tusome nurse na C.OPharmacy sasa hivi ndio ajira zake chache sana.
Hata ajira za karibunibza TAMISEMI na Wizara ya Afya, Pharmacy wamechukuliwa wachache sana.
CO na MD bado ni kozi nzuri ingawa inahitaji uwejezaji mkubwa sana kifedha, kiakili na muda.
Kwanza kwa CO usipojiangalia utaishia hiyo hiyo CO.
Vp kuhusu medical laboratory technology ajira zipo au utopolo tuPharmacy sasa hivi ajira za kusuasua sana. Halafu wakishaajiriwa wawili tu hispitali ndio basi tena.
Chuo gani ?Vp kuhusu medical laboratory technology ajira zipo au utopolo tu
Nimepata diplo ya pharmacy Udom lakini hiyo kozi ya medical lab technology ipo nawaza naweza kubadilisha tu nipe hiyoChuo gani ?
Kuna mwongozo sijui unaitwa CMT** wizara iliona mbona manesi wanakaa na wagonjwa huko RCH na wanagawa dawa na mambo yanaenda fresh tu, wakaamua kuwa-approve tu wawe wanatoa.Mwongozo upi mkuu unaouongelea?? Hakuna mwongozo unaosema nesi atoe dawa kwa wangonjwa otherwise kies Hakuna mfamasi
Maabara za Afya bado zina ajira.Nimepata diplo ya pharmacy Udom lakini hiyo kozi ya medical lab technology ipo nawaza naweza kubadilisha tu nipe hiyo
Hapo bado sijaelewa hii medical lab technology na medical lab sciences tofauti yake niniMaabara za Afya bado zina ajira.
Muhimu ujue kozi kozi unayosoma ni ya kupima magonjwa au kitu kingine maana maabara zipo nyingi.
Nimepata diplo ya pharmacy Udom lakini hiyo kozi ya medical lab technology ipo nawaza naweza kubadilisha tu nipe hiyo
Sipo kuonesha umwamba hapa mkuu sema yawezekana najua vitu vingi vinavyoendelea kwenye hizi kada za afya.......ndo maana hata baada ya wewe kutokujua kwamba medical lab inahitaji physics wala sijakunyong'onyesha kwa kauli mbovu.Kitu hujui acha, nani kakataza mtu wa GPA 3.5 asisome MD?
Lakini nataka nijue tofauti kati ya medical lab technology na medical lab sciences zote sawa auNenda Medical lab hutajuta
Medical lab technology na Medical lab sciences zote kazi ni kama zinafanana. Ila Ukiwa na Medical lab sciences unakuwa deep sana kwenye utendaji wako wa kazi hoplspitaliHapo bado sijaelewa hii medical lab technology na medical lab sciences tofauti yake nini
Medical lab technology na Medical lab sciences zote kazi ni kama zinafanana. Ila Ukiwa na Medical lab sciences unakuwa deep sana kwenye utendaji wako wa kazi hoplspitali
Kwa maana hiyo bora niachane na mapharmacy nipige hiyo medical lab technology mkuu maana naona kama serikali hawana habari na mambo ya pharmacy kabisaMedical lab technology na Medical lab sciences zote kazi ni kama zinafanana. Ila Ukiwa na Medical lab sciences unakuwa deep sana kwenye utendaji wako wa kazi hoplspitali
Sipo kuonesha umwamba hapa mkuu sema yawezekana najua vitu vingi vinavyoendelea kwenye hizi kada za afya.......ndo maana hata baada ya wewe kutokujua kwamba medical lab inahitaji physics wala sijakunyong'onyesha kwa kauli mbovu.
Anyway......issue sio kupata hiyo GPA uliyoiandika hapo......issue ni tundu la sindano lililopo kwa hawa wadogo wanaomaliza hiyo CO kwenda MD na walivyowengi kama kumbikumbi..
Bado nakueleza kuwa CO bado ni wachache kulinganisha na Pharmacy. Hii inatokana na kuwa vijana wengi wanafeli Physics kwani Co inahitaji Physics. Changamsha ubongo kidogo uone kuwa Co ni superior ya hizo kozi.Sipo kuonesha umwamba hapa mkuu sema yawezekana najua vitu vingi vinavyoendelea kwenye hizi kada za afya.......ndo maana hata baada ya wewe kutokujua kwamba medical lab inahitaji physics wala sijakunyong'onyesha kwa kauli mbovu.
Anyway......issue sio kupata hiyo GPA uliyoiandika hapo......issue ni tundu la sindano lililopo kwa hawa wadogo wanaomaliza hiyo CO kwenda MD na walivyowengi kama kumbikumbi..
Huelewi unachokisema au ulifeli Physics kwa hiyo unawaonea gere waliofauluMkuu kiufupi now C.Oni ualimu uliochangamka.
Acha tamaa,famasi nayo inamaketi sana usiangalie serikalini tu,mie nina dada yangu anacheti cha famasi aliajiriwaga kariakoo uko kwa wahindi,baada ya muda akaacha kazi akafungua duka lake la famasi kiukweli anasema hajutii kusomea iyo kazi,kaajiri watu wengine yeye sasaivi anamishe zingine.........So mie naamini tu hakuna kitu kisicholipa maishani ni kuwa na subira tu na icho unachokifanya........ama mfano mwingine huu kuna jamaa alimazaga six kipindi kile cha kikwete mwishoni mwishoni alipataga 1 tena Pcm akaona ujinga kusomea uinginia,akaenda kusomea mambo ya Petrolium and gas baada ya kusikia serikali inaingia kwenye sekta iyo......sasaivi yupo tu kitaa so wewe ukitaka kusomea kitu somea kile kilichopo damuni mwako,kwa sie waislamu tuna kitu tunatakiwa kufanya katika kuchagua mambo,so na mungu pia ananafasi katika kukuchagulia cha kusomeaKwa maana hiyo bora niachane na mapharmacy nipige hiyo medical lab technology mkuu maana naona kama serikali hawana habari na mambo ya pharmacy kabisa