Ni kweli huku hatutibu kansa, pressure au TB. Lakini magonjwa ya kila siku yote, yanayosumbua sana watu tunatibu. Mafua, kifua, malaria, minyoo, typhoid, shigellosis, amiba, kichocho, UTI, fangasi, magonjwa ya zinaa, vaginosis, magonjwa karibu yote ya kuhara, ngozi nk. Daktari anajua tu matumizi ya dawa na dozi. Pharmacology yao imebezi hapo zaidi. Ni kwe
Ndiyo maana ikaoekana kunahitajika mbobezi wa madawa. Anayejua chemistry ya dawa, phramakokinetics za dawa. Haya mambo yanakuambia kwanini dawa inaleta madhara inayoleta, kwanini inainteract na dawa zingine. Nini tofauti ya ciprofloxacin na levofloxacin na zipo kundi moja. Kwanini hii inafaa kutumika ukiwa umekula na hii bila kula. Efficacy zake zikoje nk.
Daktari anaweza mpa mtu dawa na akapona lakini dawa ina mambo mengi sana, tena sana. Ndiyo maana ikaonekana kuna umuhimu wa kuwepo na wataalamu wa dawa.