Twyn
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 993
- 550
Labda nikwambie kitu najua karibia kila kitu kuhusiana na hizi kada za afya ndo maana huwa sipendi kuwaona wadogo zangu wanakurupuka eti kisa udakatari hasa hawa familia sawa na mimi........halafu huko kukomaa kimaisha kumekujaje na hunijui.....mbona wewe uliyekomaa umeshindwa kuleta point ya msingi hapo unaleta kukomaa kimaisha pindi hunijui.......narudia tena hunijui mkuu.
Pili.......yawezekana umekomaa kimaisha kama unavyojiona lakini si kwa upande huu pia unaonekana haupo updated na haya mambo wewe........kijana amekueleza vizuri tu hapo juu bado kwa vile haupo updated unabisha tu......unaleta story za muhas.....ngoja nikueleweshe kidogo.
Mkuu hapo juu amekueleza vizuri tu kwamba kwa sasa CO usipokuwa na GPA ya 4+ MD utaisikia kwa wenzako akaongeza na kitu kingine kikubwa sana ukiwa mtoto wa masikini ndo kabisa MD utaisikia.....sasa hapo alikuwa na maana gani hapo.....twende sasa wewe uliyekomaa kimaisha.
less than or equal to 50 students kutoka ordinary diploma in clinical medicine ndo pekee wanaruhusiwa kudahiliwa kwa kila chuo kikuu tanzania kwa ngazi ya MD nchi nzima.
I.e MUHAS-only 20 student from CO
KCMC-only 30 student
BUGANDO-only 30 student.....n.k
Sasa nini namanisha hapo.....MUHAS mtu aliyebahatika kuingia hapo na inabidi akatoe sadaka unakuta ana GPA ya 4.7 yeye huyo ndo wa mwisho wengine 5.0,4.9 na 4.8......hata UDOM the same.......sasa vinabaki hvyo vyuo ambavyo usipokuwa na pesa utabaki nyumbani unatangatanga tu.........ndo pointi aliyekupa kijana hapo juu.....kairuki unayosema wewe mtoto wa mkulima hagusi pale MD.........hata hvyo vyuo vilivyobaki bado capacity yake ni ndogo then tunarudi kwa competition.......na hawa maCO walivyowengi kama kumbikumbi vyuo vya private GPA za 4.4+ zakutosha.........unakuta wewe na GPA yako ya 3.5 hata hiyo kairuki unaikosa na unakosa kweli.
ASANTE
Tatizo watu wanakaza mafuvu kana kwamba tupo kwenye ligi.....kuna mtu namfahamu ana 4.0 amepata kampala tuu kwengine kote amekosa.....watu tunaeleweshana alafu ni wabishi wakati hawajui.