Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Pharmacy wengi wanajiriwa private madukani na hospitali private.Pharmacy sasa hivi ndio ajira zake chache sana.
Hata ajira za karibunibza TAMISEMI na Wizara ya Afya, Pharmacy wamechukuliwa wachache sana.
CO na MD bado ni kozi nzuri ingawa inahitaji uwejezaji mkubwa sana kifedha, kiakili na muda.
Kwanza kwa CO usipojiangalia utaishia hiyo hiyo CO.
Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason.
Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
Labda kumpa mgonjwa anywe.Siku hivi mpaka manesi wanagawa dawa. Tena siyo kimagumashi, ni mwongozo kabisa upo.
Ajira nyingi tu serikalini hakuna. Si CO si MD, Lab wala Pharmacy. Uzuri wa pharamacy ni wingi wa ajira private sector.Mkuu hivi why now pharmacy hakuna ajira huko serikalini shida nini au wanataka wote tusome nurse na C.O
Nachekaga sana hilo tangazo. Kwamba Abdalla anafanya kazi kwenye pharmacy KUUBWAWalisoma CO wanakula Maisha ,nenda TANDABUI.
umeniacha hoi, what do you mean?TANDABUI.
umeniacha hoi, what do you mean?
naona tangazo lao... nimekupata kmbe wanajitangaza na hilo tangazoTandabui ni College of health and allied science...pia ni wadhamini wa JF.
Maliza shule kwanza mbwigaLabda kumpa mgonjwa anywe.
Nesi, MD, CO hakuna anayeweza fanya kazi pharmacy. Atampa tu mgonjwa dawa anywe. Ukisoma kazi za dawa na dozi unajikuta mfamasiaππMaliza shule kwanza mbwiga
Vitu kibao wafamasia wanamalizana navyo kwenye pharmacy. Mtu anaweza kwenda pharmacy na akapona ugonjwa wake, mfamasia anamaliza kila kitu. Lakini mtu ni ngumu kupita kwa daktari na kupona bila kupita kwa mtu wa pharmacy kupata dawa.Huwezi kua tabibubau daktari bila kujua pharmacology...japo nakubali ninyi mpo deep kujua vingi ila ikija ishu ya matibabu hamuwezi bila daktari
Vitu kibao wafamasia wanamalizana navyo kwenye pharmacy. Mtu anaweza kwenda pharmacy na akapona ugonjwa wake, mfamasia anamaliza kila kitu. Lakini mtu ni ngumu kupita kwa daktari na kupona bila kupita kwa mtu wa pharmacy kupata dawa.
Ni kweli huku hatutibu kansa, pressure au TB. Lakini magonjwa ya kila siku yote, yanayosumbua sana watu tunatibu. Mafua, kifua, malaria, minyoo, typhoid, shigellosis, amiba, kichocho, UTI, fangasi, magonjwa ya zinaa, vaginosis, magonjwa karibu yote ya kuhara, ngozi nk. Daktari anajua tu matumizi ya dawa na dozi. Pharmacology yao imebezi hapo zaidi. Ni kwe[emoji16][emoji16][emoji16] kwani daktari hawezi kuuza dawa na kutoa maelekezo dawa aliyoandika yeye mwenyewe? Nawaheshimu Wafamasia ila wataishi kugundua na kutibu kesi ndogo ndogo ila daktari yeye ndiye ataweza tibia mtu kwa usahihi na kupona ugonjwa wowote ule unaotibika.
Ni kweli huku hatutibu kansa, pressure au TB. Lakini magonjwa ya kila siku yote, yanayosumbua sana watu tunatibu. Mafua, kifua, malaria, minyoo, typhoid, shigellosis, amiba, kichocho, UTI, fangasi, magonjwa ya zinaa, vaginosis, magonjwa karibu yote ya kuhara, ngozi nk. Daktari anajua tu matumizi ya dawa na dozi. Pharmacology yao imebezi hapo zaidi. Ni kwe
Ndiyo maana ikaoekana kunahitajika mbobezi wa madawa. Anayejua chemistry ya dawa, phramakokinetics za dawa. Haya mambo yanakuambia kwanini dawa inaleta madhara inayoleta, kwanini inainteract na dawa zingine. Nini tofauti ya ciprofloxacin na levofloxacin na zipo kundi moja. Kwanini hii inafaa kutumika ukiwa umekula na hii bila kula. Efficacy zake zikoje nk.
Daktari anaweza mpa mtu dawa na akapona lakini dawa ina mambo mengi sana, tena sana. Ndiyo maana ikaonekana kuna umuhimu wa kuwepo na wataalamu wa dawa.

ππππWalisoma CO wanakula Maisha ,nenda TANDABUI.
Waliosoma C.O sasaπππ..... tangazo lao linafurahish sanaNachekaga sana hilo tangazo. Kwamba Abdalla anafanya kazi kwenye pharmacy KUUBWA
Hakuna aliyekatwazwa, tena kigezo ni kuanzia 3.0, ila competition ndio itakupiga K.O kiwa na gpa chini ya 4.5 kidogo 4.3 kupata MD ni ndoto.Kitu hujui acha, nani kakataza mtu wa GPA 3.5 asisome MD?
Naked Truth, period.Mkuu kiufupi now C.Oni ualimu uliochangamka.