mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Report ilipelekwa na Daudi Mwakawago kuhusu uchafu wake woteeeeFuatilia uteuzi wa Kikwete ulivyokuwa utapata habari kamili, wakati ambapo majina ya mwisho yalikuwa Kikwete, Salim Ahmed Salim na Prof. Mwandosya. Kikwete alikuwa na taarifa chafu ambayo Mkapa aliamua "kuipuuza", lakini kuipuuza huku kulikuwa na walakini.