mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Report ilipelekwa na Daudi Mwakawago kuhusu uchafu wake woteeeeFuatilia uteuzi wa Kikwete ulivyokuwa utapata habari kamili, wakati ambapo majina ya mwisho yalikuwa Kikwete, Salim Ahmed Salim na Prof. Mwandosya. Kikwete alikuwa na taarifa chafu ambayo Mkapa aliamua "kuipuuza", lakini kuipuuza huku kulikuwa na walakini.
taarifa za tiss, sawia na mashirika mengine ya ujasusi huwa ni siri, mpaka upite muda ikaonekana haitaleta madhara. Sidhani muda huo umefika. Na hata kama zlivuja, akiandika watazikanusha.Ni taarifa gani hiyo ya kikwete ambayo mkapa alipewa na TISS. ?
Ni vizuri mleta mada ukiisema
Hii nimecheka sana yaani huyu baba atakuwa hajipendi kuvaa hii kitu. Tenganisha kati ya cheni aliyokuwa anavaa na kupewa kitofali cha dhahabu.Afu kuna tuhuma kwamba alipewa cheni ya dhahabu ya kilo 5 huko buli sasa badala ya kuikabidhi IKULU yeye akawa anaivaa shindoni akaifanya yake kumbe ni ya Taifa.
HeeeHee, mbona sipati hii picha ya "cheni lenye kilo tano"..., zigo lote hilo shingoni!Afu kuna tuhuma kwamba alipewa cheni ya dhahabu ya kilo 5 huko buli sasa badala ya kuikabidhi IKULU yeye akawa anaivaa shindoni akaifanya yake kumbe ni ya Taifa.
Oh au ulikuwa bado hujajua kuandika kama ungalikuwa umezaliwaWakati huo nilikua sijaja mjini mkuu
Tatizo linaanzia hapo..."mambo mhimu".Hawezi kuandika kila kitu Mkuu - ndio maana nikasema mambo muhimu!
Wakuu nimejaribu kupitia simulizi za kitabu cha Rais wetu mpendwa Mstaafu Mh. Benjamini W. Mkapa sijapata mtu aliyesimulia kuhusu maisha yake ya ndoa.
Kwa wale mliobahatika kukisoma kitabu chote, vipi kuna mahala amegusia mahusiano yake hasa ya ndoa?
Wengine hatuna uwezo wa kununua hicho kitabu tushee umasikini kwa kupeana story vipande vipande.