Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

Nime verify kuwa unapokuwa na shida ama hardship yoyote Ile brain Ina function at higher energy levels than normal.

Issue nyingine nakusapoti kuwa YouTube Ni zaidi ya Harvard,yaani mtandao ukitumika vizuri unapata degree kibao ama skills ambazo shuleni ama chuoni huwezi fundishwa hata kidogo.
Kuna watu wamesoma biashara na uchumi Ila wanachofanyia kazi Ni ambacho wamepata mtandaoni. Ule Ni msitu zaidi ya misitu ya universe yote combined kimaarifa
Elon musk Ali wahi sema we are on a era "when you can learn anything you want,
👉Google, YouTube na Sasa ai ziheshimiwe🙏💪💪
 
Elon musk Ali wahi sema we are on a era "when you can learn anything you want,
👉Google, YouTube na Sasa ai ziheshimiwe🙏💪💪
Yes! Yaani kila kitu namna ya kutongoza ,kuvutia wanaume ama wanawake wakupende,namna ya kutunza kila kiungo Cha mwili wako kiafya,namna ya kuiba atm,unajifunza unangili, biashara, trading, investment, any sports,kuwinda wanyama,kulima,kuitunza familia,kwenda mwezini,yaani Ni wewe tu Mana YouTube is universe is giving you what resonates with you,you get what you attract na ndio Mana watu wa Google wanakuletea vitu vinavyoambatana na wewe ulivyo yaani unasachi unakutana na kingine hichi hapa. Yaani kitu kinakujua Kama Google ama YouTube. The same applies to our universe unapata ama you attract what you are and you don't attract what you want rather what you are.
Mana ukianza kula wake za watu utakutana na gang lako,wanafunzi,wanachuo,Malaya, wizi, biashara,msenganyaji, mwenye wivu,mpenda maendeleo, mwenye kuchukia kisa fulani akafanikiwa, ukiwa msomi,mpenda kujisomea,ukipenda kuangalia tv ama social networks,kutunga hadithi,ukianza kusafiri kwa ndege Basi,daladala,ukimiliki usafiri wako,utawavutia watu wa of your caliber.Yaani kwanza unaamini ndio utaona matokeo na sio kuwa utaona ndio utayaona matokeo. It doesn't work like that. Yaani inabiidi mie niwe mtu wa Aina fulani Basi nitawavutia watu wa Aina iyo katika maisha yangu. Nilianza kuswali Sana swala tano ama kusali nashindia kanisani nitakutana na watu wa Aina yangu. Nikianza kula Bata nitakutana na Wala Bata so we'll be grooved into our habits with time. NB , the neurons that fire together wire together ie when we do something repeatedly and continuously mizizi inakomaa zaidi na zaidi katika hiyo habits.tabia/action/thinking ni kwa binadamu Ila mizizi Ni kwa mmea.
Sasa chagua mzizi wako unaota kuelekea wapi. NB we create the habit then habit create us. Kazi kujenga Tabia na ukishaijenga Ni kazi kuibomoa the same kung'oa mizizi ya mbuyu ule wa dodoma, na ndio Mana Ni kazi mno Malaya ,mwizi, mfanyakazi,mfanyabiashara ama mlokole akaacha Tabia yake,utamuimbia mpaka unakufa habadiliki labda mpaka kenge apate damu Mana ndipo anasikia.

Build good behavior that's secret ,kila kitu Ni kilevi so jitahidi kunywa kilevi kizuri ,Ni sawa na kumzoea mpenzi fulani Ni kazi mno kumuacha.
Ni kazi mno kuacha pombe,sigara,bangi,kufanya biashara,ufundi wa Aina yoyote,kuajiriwa,kufuga,etc.

Ila Ni wachache mno wanaoweza ku walk out from previous behaviors and build new one that's can build you in right way. Na ndio Mana Ni ngumu mtu aliyezaliwa katika maisha ya umasikini kutokamo, the same applies to mtu amezaliwa katika utajiri akaondoka katika hayo maisha hayo Mana huyo mtu anajua Ile ladha ya hayo maisha psychologically, spiritually, mentally, physically and socially anajua value yake Ile kihisia kabisa so ameshazoea huo ulevi.
 
Back
Top Bottom