Usikariri....hakuna kitabu kilicho elekeza hayo....kila kitu kina uhalali wake na uharamu wakeKuoa-kuacha (usiku umeolewa asubuhi unakuta talaka whatsapp)
Napentraaa
AaahaaaNo. 4 tu, hayo mengine ni mbwembwe tu
Hatuna katazo la kuoa mke zaidi ya mmoja katika ukristo.Mkuu una uhakika?
Kwenye uislamu hata ukilala usiku ukaota umemuacha mke.ruksa kesho yake kumpa talakaKuoa-kuacha (usiku umeolewa asubuhi unakuta talaka whatsapp)
Napentraaa
Mtoto wa Mwanaume mwanamke wa kiislamu akizaa unatakiwa kumlipa ili akunyonyeshee mtoto wako na kumleaWanawake walioshika dini wakiislam ukioa umeoa.
Yaani unahisi Kama upo peponi hivi.
Godbless them.
Cc Shadeeya
Uongo. Kwenye ukristo ni mke mmoja tuHatuna katazo la kuoa mke zaidi ya mmoja katika ukristo.
Kuoa wake wengi sio dhambi, Ila kuzini na wanawake ndio dhambi, tumekatazwa kuzini Ila hatujakatazwa kuoa wake wengi.
Kuoa wake wengi kwenye Uislamu kigezo kikuu ni uwezo je uwezo upi huo nafafanuaHawa ndugu zetu wako vizuri kwny masuala ya ndoa tu, hayo mengine ni upuuzi.
Shukurani sana!Huyo ni walid
Inapendeza sana!Na wanakupa ma hela ya kutosha hii itategemea umeenda kusilimu Msikiti Gani.
Ngono ni kwa michepuko kwa mke halali ni tendo la ndoa!Kuoa wake wengi kwenye Uislamu kigezo kikuu ni uwezo je uwezo upi huo nafafanua
Kigezo Cha kwanza ni uwezo wa mwanaume kumridhisha kingono mke.Mfano ameoa mke wa kwanza anamplekesha kingono moto hasa Hadi yule mke anaona hapana huyu mume simuwezi nampa ruksa aoe mke mwingine tusaidianr hii kazi.Ndio maana kuoa mke wa pili kwenye Uislamu mke aliyepo lazima atoe ruksa mume aoe mke wa pili.
Sasa haya kaoa wake wawili anawatandika kingono barabara vitandani wote wawili moto haushuki uwezo wake wa kuwashighulikia kingono na kuwaridhisha wanaridhika Hadi wanafika mahali wanaona tutakufa huyu mume sio kawaida wanakaa Hao wake wawili wanatoka kibali kuwa mume wewe ruksa kaoe mke wa Tatu tunakuruhusu.Haya anaoa mke wa Tatu wanakuwa watatu anawapelrkesha kingono wote watatu Hadi wanajuta kuolewa maana anawafikisha na kuridhika Hadi anapitilizs na kuona ndoa chungu hawamuwezi uwezo wake kitandani wote watatu Kila mmoja akienda kwake ndio wake watatu Hao wanakaa wanasema uwezo wa mume mkubwa kutuzidi kitandani atatuua tumruhusu aoe mke wa Nne wanamruhusu
Sasa kwenye Kurani inaamini kuwa maximum mwanaume wake wanne Kwa yule mwenye minyege na moto uliopitiliza uwezo wake hauwezi zidi zaidi ya hapo.Wanne maximum
Kwa hiyo kipengele Cha kwanza ni uwezo wa kitandani ndio humsukuma mke aidhinishe mumewe aoe mke mwingine
Kigezo tu Cha uwezo wa nguvu za kingono Cha waislamu wengi kuwaweza wanne wengi hawana ndio maana mitaani wanachapiwa wake zao Hadi na bodaboda
Kifupi Kurani inamtaka mume kuwa na uwezo kwanza wa kingono kuridhisha Mkewe au wakeze
Kigezo Cha pili ni uwezo wa kiuchumi
na pili uwezo Uwezo wa kiuchumi wa mwanaume ukiyumba wanawake wa kiislamu rahisi sana kuondoka zake na kudai talaka.Na kurani inaruhusu kuwa mwanaume kama uwezo huna wa kutunza mle mke anaruhusiwa kuomba talaka tofauti na wakristo ambao Mume uwezo akiwa hana mke ni wajibu wake kupambana maisha kumsaidia mumewe.Kwenye uislamu mke hawajibiki kutunxa mumewe hata kama mwanamke huyo ana uwezo mkubwa..Wajibu wa kutunza mke ni wa mwanaume.Mitaani utakuta wanawake wengi sana wa kiislamu wameachika na sababu kubwa ni wao wenyewe kuomba talaka baada ya kuona mumewe hana uwezo wa kiuchumi wa kumtunza na wanasema wazi mume mwenyewe hana uwezo wa kunilisha wala kunivisha wa nini nimeachana naye
Always positive ,munyu kama munyu[emoji110]Mie sina tabu habiby hata nikiwa mke uji.....ngoja nije pm nichague rangi ya gauni kesho nkuite mme
Utakubali uke wenza wewe kama wewe?Lengo kuu ni namba 4, hayo mengine ni porojo.
Je unajisikiaje wanapokashifu Dini za wenzao au mitume wa dini zingine?Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
Hapo unafuata namba 4.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia
3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao
4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!
8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Sijisikii vizuriJe unajisikiaje wanapokashifu Dini za wenzao au mitume wa dini zingine?
Na zile sijui 70 zinawangoja kule ahera, au nakosea ndugu yangu mwasibu CPA feki OKW?Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.
1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma
2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia
3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao
4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.
5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini
6: Kuharakisha mazishi.
7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!
8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Dini zote hizi ni za kipuuzi tu.....hazina maana yeyote kwetu Waafrika. Hiyo ya 1 ni kwa sababu Waislam wengi hawajuwi historia ya ukweli ya Mtume wao, wao wanajuwa uwongo wa sifa zake tu. Mtume alikuwa firahuni sana, alibaka wake za watu na kuua watu at will ili arithi wake zao, pia alikuwa mbakaji kwani alimuoa mtoto Aisha mwenye miaka 7 yeye Mtume akiwa na miaka 52.Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.