Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Kipi bora kumuacha ambaye unaona kabisa hamuwezani au kuendelea kuishi naye na baadae kuja kumuua kutokana na stress na kero zake na kuishia gerezani.........???
Yaani mimi ni mkristu,lakini ukristu upo kinafiki sana,unalazimisha mambo ambayo hayawezekani kibinaadam.Huwezi kulazimisha watu ambao hawapendani hata kidogo,waendelee kuishi pamoja eti kwa hofu ya dini.
 
Naunga mkono hoja tajwa ila nawaasa waache tabia ya kufanya matendo mema kwa mwezi mmoja wa ramadhan. Iwe ndio utaratibu wa kila siku wa maisha vinginevyo ni kujidanganya na ni unafiki wa viwango.
Kuna waislam wanafanya mema kila siku na kuna wanaofanya mema mpaka mwezi wa ramadhani na hii ni ruka ya binaadam kuzongwa na ibilisi na sio sifa ya muislam ni kujisahau kwa mwanadamu hyo wala sio hoja labda ubishani saw saw na papa kuruhusu ndoa za jinsia moja kwani ni wakristo wote mnapenda hvo ni yeye papa matakwa yake sio yeye ni kuna muislam tu na muislam mshika dini hukuti muislam mshika dini yeye anamkumbuka Mungu Mweza mtukufu tu sio jambo la kweli yule anayeshika dini anamkumbuka Mungu kila siku na kutoa elimu kwa wengine wawe kama yeye
 
Sawa pesa umetafuta ww lakini umeangalia warithi wako umewaachia nini ? Mfano labda ww ndo ulikua tegemezi kwao inakuaje? Ufanye msiba wa kifahari ili umfaidishe nani? Baada ya siku kadhaa watoto,mke, wazazi wako wanataabika na wale uliowalisha vizuri msibani hakuna hata mmoja atakae saidi familia yoko sasa kwanini ufanye israfu wakati kuna wengine maisha lazima yaendeleee??
Umesoma vizuri post yangu?

Mali si nimetafuta mimi au? Kwani kuacha urithi ni lazima?

Kama watoto wana maisha yao na mke nimeshamkabidhi vya kwake, hapo vipi?
 
Kuoa wake wengi kwenye Uislamu kigezo kikuu ni uwezo je uwezo upi huo nafafanua

Kigezo Cha kwanza ni uwezo wa mwanaume kumridhisha kingono mke.Mfano ameoa mke wa kwanza anamplekesha kingono moto hasa Hadi yule mke anaona hapana huyu mume simuwezi nampa ruksa aoe mke mwingine tusaidianr hii kazi.Ndio maana kuoa mke wa pili kwenye Uislamu mke aliyepo lazima atoe ruksa mume aoe mke wa pili.

Sasa haya kaoa wake wawili anawatandika kingono barabara vitandani wote wawili moto haushuki uwezo wake wa kuwashighulikia kingono na kuwaridhisha wanaridhika Hadi wanafika mahali wanaona tutakufa huyu mume sio kawaida wanakaa Hao wake wawili wanatoka kibali kuwa mume wewe ruksa kaoe mke wa Tatu tunakuruhusu.Haya anaoa mke wa Tatu wanakuwa watatu anawapelrkesha kingono wote watatu Hadi wanajuta kuolewa maana anawafikisha na kuridhika Hadi anapitilizs na kuona ndoa chungu hawamuwezi uwezo wake kitandani wote watatu Kila mmoja akienda kwake ndio wake watatu Hao wanakaa wanasema uwezo wa mume mkubwa kutuzidi kitandani atatuua tumruhusu aoe mke wa Nne wanamruhusu

Sasa kwenye Kurani inaamini kuwa maximum mwanaume wake wanne Kwa yule mwenye minyege na moto uliopitiliza uwezo wake hauwezi zidi zaidi ya hapo.Wanne maximum
Kwa hiyo kipengele Cha kwanza ni uwezo wa kitandani ndio humsukuma mke aidhinishe mumewe aoe mke mwingine

Kigezo tu Cha uwezo wa nguvu za kingono Cha waislamu wengi kuwaweza wanne wengi hawana ndio maana mitaani wanachapiwa wake zao Hadi na bodaboda

Kifupi Kurani inamtaka mume kuwa na uwezo kwanza wa kingono kuridhisha Mkewe au wakeze

Kigezo Cha pili ni uwezo wa kiuchumi
na pili uwezo Uwezo wa kiuchumi wa mwanaume ukiyumba wanawake wa kiislamu rahisi sana kuondoka zake na kudai talaka.Na kurani inaruhusu kuwa mwanaume kama uwezo huna wa kutunza mle mke anaruhusiwa kuomba talaka tofauti na wakristo ambao Mume uwezo akiwa hana mke ni wajibu wake kupambana maisha kumsaidia mumewe.Kwenye uislamu mke hawajibiki kutunxa mumewe hata kama mwanamke huyo ana uwezo mkubwa..Wajibu wa kutunza mke ni wa mwanaume.Mitaani utakuta wanawake wengi sana wa kiislamu wameachika na sababu kubwa ni wao wenyewe kuomba talaka baada ya kuona mumewe hana uwezo wa kiuchumi wa kumtunza na wanasema wazi mume mwenyewe hana uwezo wa kunilisha wala kunivisha wa nini nimeachana naye
DR Mambo Jambo ametoa aya kwny Quran kwmb imekataza kuoa wake wengi, go read his post.
 
Pamoja na ukristo wangu yapo mambo kadhaa nayoyapenda kwa waislamu.

1. Kutoruhusu mtume wao adhalilishwe au kudhihakiwa. Huwezi kumkashfu mtume au kitabu chao cha Quran mbele yao halafu wakutazame tu. Lazima wakuletee noma

2. Mavazi ya staha kwa wanawake
Napenda sana dress code kwa wanawake. Wanavaa mavazi ya staha. Sehemu za ibada huwezi kuvaa kihuni-huni ukaingia

3. Kutengana wanawake na wanaume kwenye ibada zao

4. Kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja kwa mtu mwenye uwezo wa kuwatunza.

5. Utoaji wa sadaka usiotia umasikini

6: Kuharakisha mazishi.

7. Kutomtenga muumini (Hapa uswali ama usiswali ilimradi wewe ni muislamu ukifa hamna longolongo utazikwa mahali popote! Njoo kwetu!

8: Kuharakisha ndoa! Hamna longolongo!
Umegawa maua kama yote.

Hayati Mwinyi angekuwa wa upande wa pili ingechukua wiki hadi 2 ndipo azikwe.

Pia Maiti haiwezi kutazamwa tena pindi roho ikishaacha mwili.
 
Sahih Bukhari (72:715) - "Aisha said, 'I have not seen any woman suffering as much as the believing women'" Muhammad's own wife complained Muslim women were abused worse than other women.

Sahih Muslim (4:2127) - Muhammad struck his favorite wife, Aisha, in the chest one evening when she left the house without his permission. Aisha narrates, "He struck me on the chest which caused me pain."

Abu Dawud (2126) - "A man from the Ansar called Basrah said: 'I married a virgin woman in her veil. When I entered upon her, I found her pregnant. (I mentioned this to the Prophet).' The Prophet (peace_be_upon_him) said: 'She will get the dower, for you made her vagina lawful for you. The child will be your slave. When she has begotten (a child), flog her'" A Muslim man thinks he is getting a virgin for a wife, then finds out that she is pregnant. Muhammad tells him to treat the woman as a sex slave and then flog (kumchapa bakora akisazaa) her after she delivers the child. (Despite multiple chains of narration, this hadith is graded as daif).
Japo sio mshabiki wa Dini ila Panapo Tajwa uongo huwa sipendi kuwaonea maana Mimi pia Ni muumini wa ukweli..

Soma hiki kitabu kitaoutoa Tongotongo
Screenshot_20240321_101447_Adobe Acrobat.jpg
 
Dini zote hizi ni za kipuuzi tu.....hazina maana yeyote kwetu Waafrika. Hiyo ya 1 ni kwa sababu Waislam wengi hawajuwi historia ya ukweli ya Mtume wao, wao wanajuwa uwongo wa sifa zake tu. Mtume alikuwa firahuni sana, alibaka wake za watu na kuua watu at will ili arithi wake zao, pia alikuwa mbakaji kwani alimuoa mtoto Aisha mwenye miaka 7 yeye Mtume akiwa na miaka 52.
Ngoja wvaa kobzi wakusikie wakusomee takbiri
 
Ukisoma Quran Kigezo cha kuoa wake wengi ni Uadilifu..

Quran 4:3 (Sura An-nisai aya ya 3)

.....basi oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi oeni mmoja tu.....

Lakini ukienda Kusoma Mbele zaidi ya Sura hiyo hiyo aya ya 129 Quran inasema..

....Wala hamtaweza kufanya uadilifu baina ya wake, hata mkikakamia (Mkiamua kufanya hivyo). Kwa hivyo msimili (Msilalie upande mmoja)..moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa. Na mkisikizana na mkamchamngu basi Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa maghfira na Mwenye kurehemu.....

Kama utaangalia Aya hiyo inatoa maelezo ya Aya hiyo ya 3 kuwa binadamu wa kufanya Uadilifu ni wachache sana na hata ukijifanya wewe utafanya uadilifu ila huwezi
Hivi inakubalika kulala na wake zako hapo kitanda kimoja???
 
Back
Top Bottom