Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Kipi bora kumuacha ambaye unaona kabisa hamuwezani au kuendelea kuishi naye na baadae kuja kumuua kutokana na stress na kero zake na kuishia gerezani.........???
Yaani mimi ni mkristu,lakini ukristu upo kinafiki sana,unalazimisha mambo ambayo hayawezekani kibinaadam.Huwezi kulazimisha watu ambao hawapendani hata kidogo,waendelee kuishi pamoja eti kwa hofu ya dini.
 
Naunga mkono hoja tajwa ila nawaasa waache tabia ya kufanya matendo mema kwa mwezi mmoja wa ramadhan. Iwe ndio utaratibu wa kila siku wa maisha vinginevyo ni kujidanganya na ni unafiki wa viwango.
Kuna waislam wanafanya mema kila siku na kuna wanaofanya mema mpaka mwezi wa ramadhani na hii ni ruka ya binaadam kuzongwa na ibilisi na sio sifa ya muislam ni kujisahau kwa mwanadamu hyo wala sio hoja labda ubishani saw saw na papa kuruhusu ndoa za jinsia moja kwani ni wakristo wote mnapenda hvo ni yeye papa matakwa yake sio yeye ni kuna muislam tu na muislam mshika dini hukuti muislam mshika dini yeye anamkumbuka Mungu Mweza mtukufu tu sio jambo la kweli yule anayeshika dini anamkumbuka Mungu kila siku na kutoa elimu kwa wengine wawe kama yeye
 
Umesoma vizuri post yangu?

Mali si nimetafuta mimi au? Kwani kuacha urithi ni lazima?

Kama watoto wana maisha yao na mke nimeshamkabidhi vya kwake, hapo vipi?
 
DR Mambo Jambo ametoa aya kwny Quran kwmb imekataza kuoa wake wengi, go read his post.
 
Umegawa maua kama yote.

Hayati Mwinyi angekuwa wa upande wa pili ingechukua wiki hadi 2 ndipo azikwe.

Pia Maiti haiwezi kutazamwa tena pindi roho ikishaacha mwili.
 
Japo sio mshabiki wa Dini ila Panapo Tajwa uongo huwa sipendi kuwaonea maana Mimi pia Ni muumini wa ukweli..

Soma hiki kitabu kitaoutoa Tongotongo
 
Ngoja wvaa kobzi wakusikie wakusomee takbiri
 
Hivi inakubalika kulala na wake zako hapo kitanda kimoja???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…