Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

yah iko hivyo na sababu nyingine ya kukaa eda ni kutizamia mwanamke asije kuwa anaondoka akiwa na ujauzito wako akenda kumpa mtu mwingine kimakosa
Kutoboa eda ni kazi hasa ukikuta mwanamke anakupa mitego, watoto wenyewe ndio hawa wamefundwa, wallah hutoboi lazima utupe taulo kukubali pambano limekushinda.
 
Hoja ya kuokoa gharama haina mashiko, kuna watu wanapenda mazishi yao yawe ya kifahari na yatumie gharama.
Hao ni wangapi kati ya milioni sitini (60), vipi wewe utakuwa mmoja wao??

Naomba unipe faida ya kuzikwa kifahari??

Huyu ni tajiri na haya ni mazishi yake!


Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum’s financial stature is nothing short of remarkable. According to Celebrity Net Worth and South China Morning Post, his net worth ranges between $14 billion to $18 billion (approximately between Rs 1.1 lakh crore to Rs 1.4 lakh crore).



Hili ni kaburi lake!




Lete utajiri wako tuone!
 
Wengi hawayaishi hayo mnayofundishwa.

Mnaisingizia dar bure tu mbona wengine wanaweza vizuri tu kushinda vishawishi?
 
naomba nitetee hizo hoja.
inakua hivyo kuweka universality.
mengine ya kuji-arabized ni inferiority complex ya mtu mweusi. Watu weusi tulijengewa hisia za kujiona wafaransa, wareno, waingereza, na waarabu kutegemea na colonial masters wa eneo husika.
 
Umesahau na kutimiza ile amri ya kuswali kila saa maana hatujui siku atakayo kuja mwana kondoo kama tunavyo fundishwa kwenye ukiristo halafu hatutimizi,tume kalili j,pili j,mamos pekee.
 
Kuharakisha maziko.
 
Sijaona hoja yako, mimi siyo tajiri ila kwny msiba wangu nauwezo wa kuchinja ng'ombe sita watu wakae wiki nzima wale wafurahi.

Kwa nini wewe unipangie nizikwe haraka?

Kwa nini unataka na mimi nimuige huyo tajiri aliyezikwa kimasikini?

Pesa nimetafuta mimi kwa shida, kwa nini nikifa mali nilizonazo zisitumike watu wale waenjoi?

Ninabana matumizi kwny msiba wangu ili mali zibaki wachukue akina nani? Nao si watafute zao?
 
10-kuzikwa,kuchinja kuelekea kibra(arabuni)
11-kuamini vyakula vya kiarabu nì bora kuliko vyetu sisi wabantu na vingine kuviteka mfano wali( cha mtume)
12-Usafi kuzingatiwa wakati wa ngono na swala tu
****mambo ni mengi na ajabu wanaosilimu kufuata huu upuuzi ni wengi mno!
 
13. Uislam umekataza usionewe, kudhulumu wala kudhulumiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…