Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Hii kihasibu imekaaje?
 
Nakunga mkono Kwenye 4 na 6.
 
Je inawezekana mtu akasilimu na akabaki na jina lake la kiafrika kama vile Matinde, au lazima apewe list ya majina ya kiarabu achague analolipenda?
Kubadilisha jina ni uhuru wako mwenyewe kwenye dini ila ipo ruhusa kubadili jina kama utapenda mwenyewe. Kama una jina la ukoo au hili la Matinde unataka kubaki nalo ni sawa tu kwenye kusilimu inatakiwa anae ingia kwenye uislam. Atowe shahada kama ana shuhudia Mwenyezi Mungu mmoja na Mtume Mohammed ni mjumbe(Mtume/Nabii) wa Mwenyezi Mungu tu inatosha. Kama kuna sheikh atakubishia lazima ubadili jina mwambie akutajie sahaba alie badili jina lake.

Mfano wazee wamepata mtoto na kumpa jina la Panya na Mwenyewe mtoto akikuwa mkubwa halito mpendeza Basi anaweza kwenda libadilisha mahakamani.
 
Njoo sasa Romani katoroka, ndio utafurahi. Yaani waumini masikini wanakamuliwa michango na masharti utadhani wako kwa Kalumanzila.

Kun mahali tulikuwa kwa fundi cm wakawa wanapiga story za michango huyo mama anasema, "ukishindwa kutoa mwenyekiti wa jumuiya anakuangalia kama Kinyaa na Ukifa unatupwa huko kaburini kama mjusi" mwisho wa kunukuu.

Pia masikini wengi huzikwa na makatekista wafanyibiashara na watumishi ndio padiri au paroko, viongozi wakubwa ndio askofu.
 
7. Nilishawahi kukaa na Rais Mwingi kipindi hicho ni Waziri wa Ulinzi pale Msikiti wa Al Maamur Upanga, hakuna madaraja kama pale Azania Front Church marehemu Lowassa alikuwa na seat yake Special
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…