Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

Hebu tutulie na mjadala hapo kwenye kuoa na kuacha.
Kuoa na kuacha luhusa iwapo kama mke ulie muoa anatabia mbaya utafanyaje uendelee kuishi na nyoka ndani,lakini hata nyiyi mnahachania mahakamani kilakukicha
 
Naunga mkono hoja tajwa ila nawaasa waache tabia ya kufanya matendo mema kwa mwezi mmoja wa ramadhan. Iwe ndio utaratibu wa kila siku wa maisha vinginevyo ni kujidanganya na ni unafiki wa viwango.
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]
 
Islam is true religion the rest the human made bussiness.
Kama sio business kwanini Allah anaomba mikopo kwa waislam na wampe Mohammad na Mohammad harudishii waumini anakula zote and Allah anasema watapata riba Mara dufu peponi na wazidi kutoa mkopo kwa wingi wakitoa pesa atawasamehe madhambi hahaha
QURAN 64:17
 
Ningekuwa Mwislamu ningekuwa nimeishaoa mimi. Yaani ningeoa binti anayevaa ushungi siku zote, lile joto na ngozi nyororo hatari tupu.

Halafu binti asingekuwa ananiropokea wala kunijibu hovyo sababu dini inawakataza mara kwa mara. Tena ningeoa yule ameshika dini haswa yani nafanya mambo yangu kwa amani.

Ila nisingeoa mke mwingine. Kwa vile sio Mwislamu nasubiri mpaka nifike angalau 30 uko ndio nioe.
Mi nilioa nikiwa na 26yrs wife 24yrs niko nae mpaka leo tunaleana.
 
Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?

Naomba jibu kama unajua.
Jina sio lazima aweza kusalia na jina lake la hasili tu maadamu liwe na maana nzuli mfano maganga mabele
 
Je inawezekana mtu akasilimu na akabaki na jina lake la kiafrika kama vile Matinde, au lazima apewe list ya majina ya kiarabu achague analolipenda?
ishu ya jina ni tamaduni tu kama vile kuvaa kanzu ni utamaduni sio lazima cha msingi nguo ikustiri.

Jina lazima liwe na maana nzuri sio uitwe phirauni au shetani.
 
Kuna wengine wanatumia loopehole hiyo kufanya uhuni unaoa kila siku kama manara au kitenge sidhani kama dini ndio ilifundisha vile
Kuna tofauti kati uisilamu na waumini wasio waadilifu na MUNGU siku zote anaangalia nia/intension hivyo kama wanafanya kwa nia ya kuchezea wanawake hawata epuka adhabu ya ALLAH.
 
Ingekubalika... Ningemtaftia mme wangu mke mwingine

Haikubaliki kweli? Imeandikwa??
Haijuzu, kabisa! Na hakuna khitlafu kwa wanazuoni wote, tokea waliotangulia hadi waliofuatia kuwa ni haramu kufanya tendo la ndoa na mke mmoja vile mwengine anangalia, au kufanya nao wote wawili chumba kimoja, au kulala nao wawili wote.
Screenshot_20240321_120211_Gallery.jpg

Imepokewa kutoka kwa Abu Sai'd Al-Khudriyy akisema:-
Amesema Mtume "Asiangalie mwanamume utupu wa mwanamume mwenziwe, wala asiangalie mwanamke utupu wa mwanamke mwenziwe!

Wala asimuingize mwanamume kwenye nguo moja mwanamume mwengine!

Wala asimuingize mwanamke kwenye nguo moja mwanamke mwengine...Ameipokea Muslim. (Yaani wasivae wala kujifunika wanaume wawili au wanawake wawili nguo moja- wakiwa uchi.)

Imam An-Nawawy akifafanua Hadithi hii amesema:
"Hii ni dalili kuwa ni haramu kwa mwanamume kuangalia utupu wa mwanamume, na manamke
kuanglia utupu wa mwanamke (mwenziwe) Na hakuna khitlafu katika suala hili."

Screenshot_20240321_120654_Gallery.jpg
 
Sijaona hoja yako, mimi siyo tajiri ila kwny msiba wangu nauwezo wa kuchinja ng'ombe sita watu wakae wiki nzima wale wafurahi.

Kwa nini wewe unipangie nizikwe haraka?

Kwa nini unataka na mimi nimuige huyo tajiri aliyezikwa kimasikini?

Pesa nimetafuta mimi kwa shida, kwa nini nikifa mali nilizonazo zisitumike watu wale waenjoi?

Ninabana matumizi kwny msiba wangu ili mali zibaki wachukue akina nani? Nao si watafute zao?
Aliyepangiwa ni muisilamu sio wewe we fanya unachoona sawa kaka eisten.
 
Haijuzu, kabisa! Na hakuna khitlafu kwa wanazuoni wote, tokea waliotangulia hadi waliofuatia kuwa ni haramu kufanya tendo la ndoa na mke mmoja vile mwengine anangalia, au kufanya nao wote wawili chumba kimoja, au kulala nao wawili wote.
View attachment 2940721

Imepokewa kutoka kwa Abu Sai'd Al-Khudriyy akisema:-
Amesema Mtume "Asiangalie mwanamume utupu wa mwanamume mwenziwe, wala asiangalie mwanamke utupu wa mwanamke mwenziwe!

Wala asimuingize mwanamume kwenye nguo moja mwanamume mwengine!

Wala asimuingize mwanamke kwenye nguo moja mwanamke mwengine...Ameipokea Muslim. (Yaani wasivae wala kujifunika wanaume wawili au wanawake wawili nguo moja- wakiwa uchi.)

Imam An-Nawawy akifafanua Hadithi hii amesema:
"Hii ni dalili kuwa ni haramu kwa mwanamume kuangalia utupu wa mwanamume, na manamke
kuanglia utupu wa mwanamke (mwenziwe) Na hakuna khitlafu katika suala hili."

View attachment 2940723
Oooh basi tena....ahsante bro
 
Niliuliza hivi; Kwanini mtu akitaka kusilimu lazima apewe jina la kiarabu..
Mfano, Bahati anataka kusilimu, kwanini sasa aitwe Abdul badala ya kubaki na Bahati lake.. Je kuna shida na Majina yasiyo ya kiarabu?

Naomba jibu kama unajua.
Unaweza kubaki na jina lako.
Lakini tumeusiwa kuwapa watoto wetu majina mazuri.
Majina mazuri siyo lazima yawe ya kiarabu.
Utakuta mtoto anaitwa Tabu, Shida, Hasara nk, haya si miongoni mwa majina mazuri.
 
Back
Top Bottom