Mambo niliodharau kwenye uchumba yananitesa ndoani

chomoa batter mkuu kabla haujafika mbali, ndoa ni furaha sio karaha
 
Pole sana ,vishaumana
 

Mle kichwa mkuu muda bado Unao kama umeshamwambia alafu na bado habdiliki
 
Hahahaha atakuwa mjamzito
 
Mutawacha wangapi na kila mmoja wenu amelelewa kivyake? Huyo wa kwako labda umeoa ambae hali ya maisha nyumbani kwao iko juu kidogo na alikuwa na wafanyakazi nyumbani kwao kwa hivyo hakuwa anapika. Itahitaji muda mpaka azoee kazi za nyumbani.

Labda muanze na pre-nuptial agreements (makubaliano kabla ya ndoa).

Wazazi munaowadekeza watoto wenu na kuwacha kazi zote afanye dada wa nyumbani huu ndio muda wa kujirekebisha.
 
Hahahaaa hahahaaaaaa 🤣🤣🤣
Halafu bado unakomaa nae?
Ana chanzo chochote cha kipato?
Kama hana mpe nafasi akatafute kwanza........ Ila siku ukiyumba kidogo imekula kwako..... Jifunzeni kutafuta wenza mnao endana nao jamani.....
 
…..jikubali mkuu,

We shape our lives with our own thoughts….chukua hyo point

Ukikiona kitu fulani ni tatizo ndo tatizo huongezeka….iruhusu akili yako ifanye kazi kama mwanaume punguza hisia wewe ni mwanaume.

Mwanamke ndo anebeba hisia za kukosea kwenye ndoa na sio mwanaume.
 
Hahahaaa hahahaaaaaa 🤣🤣🤣
Halafu bado unakomaa nae?
Ana chanzo chochote cha kipato?
Kama hana mpe nafasi akatafute kwanza........ Ila siku ukiyumba kidogo imekula kwako..... Jifunzeni kutafuta wenza mnao endana nao jamani.....
Shida ni moja mkuu... tumesha enda kwao na mahali tushatoa sina kwakutokea yani
 
Hiii story ilitakiwa kuwa ISIDINGO the need ila imekuwa SHUMILETA sanaa
 
mwenye tabia 1,3,7,8,9 ninae lakini stomuoa kamwe! Hizo sifa ni chache hatari sana[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…